Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Unafikiri hata sisi tunapenda kuwasaliti basi[emoji2297]
Ila hili lishetani jamani halina adabu hata kidogo. Roho zinatuuma sana inapotokea bahati mbaya tukawasaliti. Tunawapenda mnoooo.
Mjiandae kuondoka na huyo shetani mbaya mkifumwa😅
 
Hii inaelekea kufaa hakika
Hii inafaa,yaani familia zote mbili zifahamishwe ili tukio,na baba mtoto afahamishwe ,na mtoto afahamishwe kumjua baba yake.
Baada ya hapo waweke taratibu za kuishi kwa heshima,ikibidi hata vyumba watengane.
Na hata kama mmoja atakuwa na mpenzi basi awe wazi tu.
Kusiwepo na mambo ya kupendana,waishi tu kama bestfriend na wazazi.

Kila kitu huwa kinapita,baada ya miaka ambayo jeraha la mapenzi limepona na kovu kupotea huenda wakarudiana tena,hakuna aijuaye kesho.leo mume anaweza hata kuungua ns kutoa haja kitandani huyo mwanamke akawa msaada.
Amsamehe lakini asimpende na kumfanya wake,awe mshirika tu wa maisha.asimfukuze hapo nyumbani.
 
Hii issue akifanya mwanaume huwa aichukuliwagi serious mwanaume ameoa na ndoa kabisa ndani ya miaka 3 anakuletea watoto wadogo kazaa nnje tena wanaendelea kudinyana na mzazi mwenzie mpk ana hamia hiko Ila kwa vile sisi mama huruma tunawasamehe tu hata taraka hatuombii [emoji41][emoji41][emoji41]ila kafanyaa ke basi dunia nzima inashaurii avunje ndoa nonsense
Uko sawa. Lkn usiongelee jinsia, ongelea tukio
 
Hebu wanaume acheni kujidekeza huko!! Kaka yako nae ameyachokonoa ya nini kama hakuwa na maamuzi? Atulie huko walee watoto wao, msitake kukuza mambo hapa. Sio nyie kila siku mnasema mambo ya kawaida haya. Haya izooeni na hii new normal.
Moyo unashindwa kuhimili uchungu[emoji1787]
 
Usitusagie kunguni sasa, tunawapenda nyie viumbe hakuna mfano. Najua mnataka malaika ila sisi ndio tuko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivyo tuvumiliane tu.
[emoji1787][emoji1787] nyie n malaika mbadala[emoji13]
 
Sasa tuwaache muende wapi jamani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Tunawapenda hadi kuwapa watoto wa nyongeza ila bado hamridhiki!! Hivi ni nini mnataka nyie viumbe?
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] sitii neno[emoji1787][emoji1787]
 
Habarini!!!
Ndoa ya ndugu yangu wa damu (kaka) imeingiliwa na kirusi hatarishi, maji yamezidi unga
Alimuoa binti (mke wake) kigori kabisa, na kwa utamaduni wetu, hili huwa tukio la heshima kwa muaji na waozeshaji (familia ya binti) pia.
Baada ya miaka sita ya furaha na huzuni, ndoa ya ndugu yangu imesimama wima, ikiwa na jumla ya watoto watatu, wakiume wawili na kabinti.
Kati ya watoto hao, mtoto mmoja (wa tatu) hafanani kabisa na watoto wengine, na hafanani na baba yake wala mama yake...pia hafanani na yeyote katika familia yetu wala ya mwanamke.
Jambo hili lilimpa shaka bro, alijipa moyo lakini uafrika wetu ukamshinda.
Maswali ya "mbona hafanani na sisi?" yalikuwa mengi, jambo lililomfanya bro aamue kutafuta suluhu ya nafsi yake..

Alianza kwa kupima DNA kwa Siri bila yeyote ndani ya familia kujua...majibu yakaonesha si wake (Tz)
Akaenda nae Nairobi, huko akampima tena, ikaonesha si damu yake..
Kwa maelezo yake, anadai alienda kwa gwiji fulani huko Mombasa, nako akaambiwa si damu yake... Zaidi tena huko Mombasa, huyo mama (mganga) alimuonesha baba halisi wa mtoto yule

Bro alirudi kwake, akamkalisha kitako mke, akatumia maarifa na ujuzi wake wooote aliojaaaliwa kumshawishi mke amwambie chochote juu ya mtoto yule.
Japo lilikuwa jaribio gumu, lakini mke alikiri kuwa Moses, mtoto wa mwisho, si mtoto wa kaka. Na akamtaja baba yake halisi.

Picha iko hivi;
Shem katika makuzi yake, alikuwa na rafiki yake (mtoto mwenzake) ambaye walitengana baada ya familia ya huyo kijana kuhamia mkoa mwingine. Walipokua, walitafutana na wakaendelea kuwasiliana km wapenzi hadi shem alipoolewa.
Lakini licha ya kuolewa, mawasiliano yao yaliendelea na ahadi yao ilikuwa wazae mtoto mmoja ili iwe kumbukumbu ya mapenzi yao tangu utotoni...na walipokuwa wakipata nafasi ya kukutana, basi walikuwa wananyanduana hadi mtoto huyo akapatikana..

Bro anataka kufanya maamuzi; ni moja tu kati ya mawili
1. Avunje ndoa au
2. Alinde ndoa

Binafsi km mshauri wa karibu, nimemshauri alinde ndoa..
Kaniuliza KWANINI? Nimekosa jibu!
Kwa Mimi ningevunja ndoa,Mana hata nikiendelea nae nisinge kuwa na upendo KWAKE na hata kumuamini ingebaki sifuri nanisingeweza kunyanduana nae Mana anaweza kuleta magonjwa ya zinaa kwenye family
 
Tarudi hapa kutoa updates za hii kesi..
Hadi sasa bro ameshatuma ujumbe ukweni, watafika kesho asubuhi kwa ajili ya kikao..
Familia yetu pia imetaarifiwa..

Mke ametaka kukimbia (mchana huu), kabla hayaondoka, mumewe akafika nyumbani na kukuta mke anafunga vilago...amemzuia asubiri kika cha familia..

Kesho tatoa mrejesho hapa..
Japo sijui namna ya ku-update uzi...ila vyovyote tavyoandika ilimradi niwape hitimisho
 
Mwanamke huruhusiwi kuchepuka kwa namna yeyote ile
Mlete na maandiko mnapoyatoa ...maana Biblia inaruhusu taraka kwa ajili ya uzinzi sasa sijui wapiii mnatoa utetezi mwanaume achepukee mwanamke atuliee[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Tarudi hapa kutoa updates za hii kesi..
Hadi sasa bro ameshatuma ujumbe ukweni, watafika kesho asubuhi kwa ajili ya kikao..
Familia yetu pia imetaarifiwa..

Mke ametaka kukimbia (mchana huu), kabla hayaondoka, mumewe akafika nyumbani na kukuta mke anafunga vilago...amemzuia asubiri kika cha familia..

Kesho tatoa mrejesho hapa..
Japo sijui namna ya ku-update uzi...ila vyovyote tavyoandika ilimradi niwape hitimisho
Huyo kaka ako amsamehe tyu hakuna jipyaa ...samehe 7 mara 7 hiyo ndo tunaita misuri ya imani ...ndo ushuhuda wake huo akiweza kisamehe ilo jambo maisha yake yote yatakuwa mepesiii[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom