Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

Nani anaye taka kuishi na mwanamke asiye mpenda? Nani asiye taka kupendwa?
Tafuta pisi Kali, mtongoze akikukubali muoe, muingilie akupe uzao, ukianza kuwaza mengine utajikuta 45 years huna mtoto wala mke..sababu ukitumia logic utaona almost kila mwanamke hafai ana ulterior motives

Otherwise uwe na ukaribu na Mungu akuoneshe mke sahihi..haya mambo kwa macho ya damu na nyama ni ngumu kuyapatia de Gunner
 
Ni mgumu kwa sababu watu wengi hawako keen kujua mzizi wa fitna uko wapi

Wanayaendea mahusiano kama daladala za mbagala

In short siwezi kuoa mbongo labda nipate aliye nyooka kwa kweli
 
Even if you marry an allien tutampokea na kumpenda wifi yetu huyo ila amini nakwambia wanaofake love for money wamejaa kote duniani na wenye mapenzi ya kweli wapo kote duniani.
Mbona unarudia tulicho kwisha kukizungumza dada mzuri?
 
Wanao lizagwa hasa hasa ni macelebrity maana huwa wanakuwa na ulimbukeni sana, huwa wanaoa right partner ila wanaishia kuruka na mademu wa nje na kuwafanya wake zao ku file divorce

Angalia ndoa za watu wanaojielewa zinavyo dumu.
Fuatilia vizuri mkuu au ulizia kwa wakongwe watakueleza usije ukaangukia pua.
Nimewahi kukutana na wazungu ni wazee wa miaka 55-60 ila wako singo na wanaogopa kuoa tena baada ya kupigwa na kitu kizito.
Wewe hujastuka kwa nini kuna wazungu wengi wanaoa mademu wa kiafrika hasahasa Kenya na kuachana na wazungu wenzao?
 
Wanafanya vile ili kuwa tumia tu mkuu, tena hao huwa ni wazee ukute kashafiwa na mke wake halisi anatafuta kigori cha kiafrika na mali anaandika watoto wake.

They do so because hawezi kupata mwanamke mzungu ambae atam question sana
 
But kwenye ule Uzi wake alisema nimnukuu "Nitakuwa kando kwa muda" na akasema pia hata nikijakuingia tena haitakuwa active kama mwanzo sijaona sehemu kasema harudi tena unamlinga maneno mbona kiswahili ni lugha nyepesi sijui hamkumuelewa
Ameaga mara nyingi sana mkuu, ana nyuzi nyingi sana za kusems kwaheri jf, ameinanga ssna jf na watumiaji wake, kwamba ni mtandao wa watu average sana.

Ila kwangu hata sio issue, kila mtu ana mapito yake na namna ya kuyahimili.
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusema mimi nina pitia mapito? 😂 Aisee..
 
Hivi unajua maana ya screenshot? ni wapi mimi nimetuma screenshot?
Kwahiyo wewe umejipa kazi humu ya kutafsiri malengo ya post za watu kwa tafsiri unazo zitaka wewe tu sio?

Kwa akili hizi ndio maana kumbe ulibase zaidi kwenye uchawa wa WCB coz hizo post hazihitaji akili kubwa.
Mwamba una hasira shemeji kakunyima unyumba Nini?
 
Back
Top Bottom