ndio napita kimya kimya😅😅Sijakuona kwa uzi kumbe umo unasoma?
welcome back 🥂Haya mkuu, nimerudi kikamilifu sasa.
hamna shida ila wakati ukiwadia utaondoka wew pekeako bila hata kusema bye",, hakuna maelekezo yoyoteNimejaribu ila nimeona siwezi, siwezi acha jf kirahisi hivyo, japo nilipanga kukaa nje kidogo. 😎 Haya nipe maelezo ya huyo..
achana nae sio fungu lakoYes uko sahihi kabisa, ni ile fire unapotea hata bila wewe kuongea chochote. Yule mtoto tukllishindwana aisee
yeah ni kweli,, sema na wew haueleweki yani unafukuzia mtu ila bado unaleta nyuzi za kumchapa jirani mara umetembea na mdogo ake rafiki ako yani taflani,,, kukutetea ni ngumuHakika. Ila Nashukuru uli play part yako
Hahahaha hizo ni stori tu, 😂yeah ni kweli,, sema na wew haueleweki yani unafukuzia mtu ila bado unaleta nyuzi za kumchapa jirani mara umetembea na mdogo ake rafiki ako yani taflani,,, kukutetea ni ngumu
ok kila lenye kheriHahahaha hizo ni stori tu, 😂
Nothing serious, mimi ni hopeless romantic mmoja ambaye nikimpenda msichana dunia nzima unajua kabisa
mi nimefanya nini mpka unitakie kheri?Kwako pia