Yule juma mzanzibari alie pata Ajali ya PIKIPIKI, ukiona mke wake alivo mpambania mpaka pumzi ya mwisho, jamaa ana kata roho unasema kabisa hapa dogo juma alipata mke mashaallah.
Cha pili na cha mwisho oa olewa penda, pendwa na level zako tusifosi, juma alipenda level zake na akapendws kweli mpaka pumzi ya mwisho, kila nikiangalia clip za yule dada basi tu Kuna mademu hii dunia shida kumpata au kumtambua wapo tena wengi tu, shida mnapenda mademu mnaodai wasafi, wajanja, watoto wa mjini lazima kiwapulize mkuu.
Sina ndoto au malengo ya kuja kuoa star mwenzangu siwezi mana najua drama itakua sehemu ya maisha labda wastara Kwa marehemu sajuki, au aika na nahreel hai ndo waliotea hawa wengine waliobaki acha ninyamaze tu