It depends na awareness yako mkuuSasa Mkuu foreigner si ndio balaa kabisa. Maana hao wanakufunga kabisa na kukufilisi na kukunyima watoto. Kama utakuwa unakumbuka kisa cha marehemu kaka yetu Le Mubebez Superbrand mzee wa Mambelez, Mambo yaliyomkuta
nyie ndo redflag wenyewe sasa.Yeah pata comparison first, reliably huwezi ukawa na noti moja uka conclude ni mbovu. Tafuta nyingine na nyingine huku ukiwa unajua cha kupima ( metrics), ndio uko nclude kwa kuona patterns zinazoeleza ubovu.....
mfano wake yeye amesikia kuna noti mbovu akaconclude noti zote ni mbovu which is wrong
Acha mambo yako,Tumezaliwa hatujuiMnhhhh
Ulifundishwa na mtu kumbe?! Kwa nini uliamini anachosema?! Hii noti feki ile halali, bila kudhani ile aliyosema halali ni mbovu na vice versa? Na kwamba yeye ndio yuko wrong?
Okaynyie ndo redflag wenyewe sasa.
Eroni una hekima kakakeHakuna binadamu asiyepitia changamoto.
Daah!"Usimwamini yeyote, hata mapigo yako ya moyo usiyaamini maana ipo siku yatakuacha bila taarifa"
Huenda ni hii chumvi nyingi prida!!Eroni una hekima kakake
MawardatMkuu samahani, username yako ya awali ni ipi!
Ndiyoš,Kumbe na ww ni first born kama mimi?
Hapo sawa, kuna identity hazipotei kirahisi.Mawardat
Yaani,tuna alama sielewišHapo sawa, kuna identity hazipotei kirahisi.
Sana,me usipofahamu,unaweza sema ni first born š,,,,nilishapewa ka uspeshoššNa wewe huwa unadeka?
First born unavyokuwa wadogo zako ndio wanaopata attention, so ukiwa mkubwa unaanza kuitafuta kwa nguvu.Sana,me usipofahamu,unaweza sema ni first born š,,,,nilishapewa ka uspeshošš
Sasa maisha yale nilikuwa naumia niende sehemu siepewi/sipati nafasi.
First born bhanaš,First born unavyokuwa wadogo zako ndio wanaopata attention, so ukiwa mkubwa unaanza kuitafuta kwa nguvu.
Mimi nawashangaa wanaosema eti last born ndio anapenda attention
Ila inabidi uwe example baa mkombozi wa familia at the same time.First born bhanaš,
Mwendo wa kujipa umuhimu tuš