Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 13,166
- 25,834
- Thread starter
- #101
Hauwezi kuja na hii mentality na uongo wa nje nje kujaribu kuni manipulate na kudanganya jukwaa kizbe namna hiyo..Hapa naongea na wewe niko somewhere in Asia nikitokea somewhere in Europe so I know what Iam talking about coz mashosti zangu ni wa zungu.Mentallity yao toward men ukilinganisha na ya wanawake wa kibongo ina tofauti ktk angle fulani ila ina mfanano ktk angle fulani.
Na issue sio kwamba nakimbia, ninachagua upande usio na vigeu geu, usio na watu wenye lack mindset. Najua ulitaka niingie mkenge eti wanawake wote wako vile vile.
Uko sahihi, katika angle nyingine ila katika dhana ya mahusiano mmezidiwa parefu kinyama.