The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,352
- 118,907
Hivi unajielewa kweli wewe? kwenye comment yangu #18 uliyoiquote kuna jambo lolote nimesema zaidi ya kupandisha huo uzi wake tu?Wewe ume quote huo uzi wa mwisho na umesema imekuaje amerudi jf wakati yeye ajasema kwamba harudi tena mwisho wa siku yeye kurudi au kutorudi ni maisha yake binafsi jikiteni mada aliyoileta
Wewe ni mchepuko wa huyo mleta mada? mbona kama hasira zako unaniletea mimi?