Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

JF VAR CHECK

Dogo anahangaika huyu basi tu. Naamini kuna tatizo mahali. Walio karibu naye itabidi wafanye kazi ya ziada!
 
Kuna kisa kimetokea manyuzi tu na kimenifanya lile wazo langu la kuoa mwanamke asiye mwafrika kuzidi kukomaa... (Sidhani kama Nitakuja kuoa mbongo au mwafrika)

Unajua nini, ukweli usemwe tu wanawake wa huku Africa ni vichomi. Sio kwa ubaya ila ni kitu ambacho kinazidi kudhihirika..

Ni hivi..

Kuna mwanangu mmoja alikuwa anadate na manzi toka tuko chuoni, ni walikuwa wameivana mpka tukawa hatuna shaka kuwa watatemana.

Binafsi kwa experience na kuwajua mademu wa kibongo kuna pattern moja iliyo kuwa inajirudia.. Huwa ni hawawi direct toka mwanzo ila sisi wanaume huwa tumajifanya Hatuoni redlfags mpaka kitukute ndo macho yafumbuke.

Sasa huyu mshakaji nilikuwa naona kawa blinded kiana. Japo nilisense tu maana sikuwahi kufatilia maisha yao, ila just by looking that girl alikuwa kicheche... Kimuonekano tu unajua hapa hakuna keeper.

Sasa mwanangu nilikuwa napenda kumuasa Kuhusiana na wanawake wa kibongo walivyo, hawana misingi ya kudumu kwenye mahusiano, maana kwanza culture inawabeba na pia mwanamke sio kiumbe anaye kuwa monitored sana because they're considered weak.

Mshkaji nilikuwa na mpanga, Achana na kuinvest mazima mpaka ukafa kwa huyo demu ipo siku utapatwa na jambo hautasahau. Jamaa anaishia kuniambia mimi ni overthinker na niko delusional.

Eti kama ana kupenda hawezi kukuacha na huku basically nilivyo kuwa naona jamaa ndo alikuwa anajitoa karibuni asilimia zote kwa yule manzi, sasa walimaliza chuo jamaa akapata mchongo mkoa x na walikuwa wameshapanga,, mchumba na sebule so mambo yalikuwa mwake kabisa.

Ila cha kushangaza hata sijui chanzo nini jamaa anakuja kuniambia yule manzi hataki tena, manzi kapata jamaa mwingine na anacho singizia ni kuwa wazazi wake ndo walimlazimsha aolewe na yule jamaa mwingine... Hakuna kitu kama hicho maana jamaa before walisha enda mpka kwao na mama yake alikuwa anajua kuhusu Mshkaji kwa maelezo yake...

But cha kushangaza ni kuwa a ako enda kuolewa yule demu ni jamaa alisha fiwa na mke wake, ni anafanya kazi migodini. So demu kafata maokoto. Ila cha kushangaza ni kuwa in all that time jamaa anadate na mpaka wakapanga kuanza kuishi pamoja, demu hakuonesha dalili ya kuja ku msaliti jamaa.

Jamaa kawa kama zuzu, nuru imetoka hana pa kushika, alifika hatua mpaka akawa suicidal..

Ila, nilikuja nikamkumbusha kipindi namwelezea kuhusu hawa wanawake wasio jua wanataka nini, na yeye kuniita overthinker na delusional...

Nilikuwa Unalijua hilo, na mpka leo pattern ni ile ile tu... Wanawake wa huku ni diggers wanajificha na wasiseme au kuwa direct na kile anachokitaka mpaka option nitakapo kuja mbele yao ndo true colors zinaonekana

Jamaa depression anayo ipitia ni ile chronic ambayo mtu analala kitandani asubuhi mpaka jioni. Ila yote hayo nilikuwa namuasa hakunisikia..

Culture na utamaduni zetu ni za kuendeleza heshima ya Uoga..na ndio walionayo wanwake wa kibongo na Africa kwa ujumla.

Wanawake wa kimatumbi ni wajinga, (sio wote) kwa sababu huwa wanajua kabisa wanacho kifanya na how kitamuumiza mwanaume but wanafanya kwa sababu ya survival.. Ni mfumo wa kukaririhshwa kuwa maisha mazuri ndo safety. Na heshima kwa mwenye nazo ndo kitu pekee kitakacho mfanya apendeke.

Mwanamke wa kiafrica anaweza asiwe a nakupenda na akaishi na wewe kwenye ndoa kwa miaka 30 kwa sababu hama pa kwenda. Na huo ndio ujinga ninao umaanisha hapa. Wanakufakia love, ili apate anacho kitaka..

Kinacho nifanya niseme haya, kuna siku nilikuwa nasafiri nikiwa kwenye bus, kulikuwa na wanawake nyuma walikuwa wanadiscuss, na mmoja alikuwa anamwambia mwenzake kuwa yuko kwenye ndoa kwasababu wanasubiri mwanaume astaafu then, ampige cha juu na aombe talaka. Mwenzake akawa anamwambia subiri tu huyo mubaba wako afe then ukarithi zile mali.

Ilinifanya Niumie how mwanaume unachomwa jua mchana kutwa then huyo mwanamke nyumbani a nawaza namna ya ku kutumia tu.

Wazungu kila mtu yuko responsible na hata kama ni gold digger anakuwa kabisa anaonekana so mwanaume ukiwiwa unaingia kupigwa ili upate mzigo. Ila mambo ya watu sijui kuliana timing sijui huyu afe, huyu akisha astaafu ni mambo ya wanawake wajinga wa huku Africa.

Na jamii I aliona hili swala kama kawaida tu, ila ni kitu kibaya na cha ajabu ambacho wanaume wasio na uelewa wanapigwa bila wao kulitambua hilo.

Wanaume kaeni chonjo, the system and game ain't in your favor...

Nime leta kisa hiki kwa sababu nataka isjirudie, hakikisha kuna mutual care baina yako, ukiona redflag ukaifumbia macho ndugu yangu yatakukuta yaliyo mkuta jamaa na utajiona fala...
Muulize emmanuel eboue wa arsenal kuhusu kupenda foreigners, hakuna sehemu taasisi ya ndoa inaheshimiwa kama africa especially Tanzania, zunguruka dunia nzima utakuja kuniambia
 
Muulize emmanuel eboue wa arsenal kuhusu kupenda foreigners, hakuna sehemu taasisi ya ndoa inaheshimiwa kama africa especially Tanzania, zunguruka dunia nzima utakuja kuniambia
Zipo nchi ukipata mwanamke, utashangaa mno kiwango cha heshima , upendo na uvumilivu kwenye mahusiano, mfano mzuri ni senegal🇸🇳
 
Yaani experience ya mtu mwingine (mmoja)ndio uconclude wanawake wa kibongo hawafa?!... mimi nilijua umedate hata wasichana wawili watatu ukapata experiences mbaya...acha utoto kutukandia...
Nimeongea kitu ambacho nina uhakika nacho asilimia 100..

Wanawake asili a kubwa Africa hawana kujitegemea, bado wanaishi katika mifumo ya mababu zetu ila wanatamaa sasa. Yaani they're like parasites.. Ukubali ukate huo ndio ukweli mchungu

Acheni kujifanya wajanja kwa comments kuanza kuongelea maswala ya sijui umedate na watu wangapi, wakati mnajua ukweli
 
Hao foreigners ndio kabisaaa, au una uzoefu nao.? Maana kwao upendo ukikata wanakuacha mchana kweupe. Halafu foreigners wengi hawawezi kuishi kiafrika, utateseka tu.

Hata hivyo, karibu tena. Naona unaaga na kurudi, ulisema haupo naive ila trust me, you're naive.
Mkuu, wewe utakua unalitambua hilo ndo maana kasema mwenyewe "Maana kwao upendo ukikata wanakuacha mchana kweupe. Halafu foreigners wengi hawawezi kuishi kiafrika, utateseka tu." ni kwasababu mindgames uchwara na umaskini wa kifikra na kihisia ni mdogo. Naona kuna mtu aliye comment wa kwanza hapo alise eti shida ni experience, ila alitaka kutafuta closure kwenye jambo ambalo kimsingi alikuwa anatambua ukweli wake. Na aina hii ya wanawake ndo wale manipulators, wanataka kuleta reverse psychology kwenye jambo lililo wazi
Yeah pata comparison first, reliably huwezi ukawa na noti moja uka conclude ni mbovu. Tafuta nyingine na nyingine huku ukiwa unajua cha kupima ( metrics), ndio uko nclude kwa kuona patterns zinazoeleza ubovu.....

mfano wake yeye amesikia kuna noti mbovu akaconclude noti zote ni mbovu which is wrong
Wewe ndo unataka kuleta manipulation hapa, acha kuongea kitu kama vile hujui namaanisha nini.

Hii pov uliyokuja nayo hapa ni reverse psychology, na kutaka viability kwenye unreliable fact ya, eti experience, mimi nina experience ya kutosha na nimeliona pattern inajirudia kwenye jamii mara kibao tu
 
Nimeongea kitu ambacho nina uhakika nacho asilimia 100..

Wanawake asili a kubwa Africa hawana kujitegemea, bado wanaishi katika mifumo ya mababu zetu ila wanatamaa sasa. Yaani they're like parasites.. Ukubali ukate huo ndio ukweli mchungu

Acheni kujifanya wajanja kwa comments kuanza kuongelea maswala ya sijui umedaye na watu wangapi, wakati mbaya Bua ukweli
Mnhhh "huo ndio ukweli"..poor argument kwa heri!
 
Back
Top Bottom