Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

Mnhhh huo ndio ukweli...poor argument kwa heri!
Unajua kwanini unakimbia, ni kwa sababu unalitambua nilalo ongelea ila ulitaka kulipaka kijembe kisicho na relevance yoyote, na watu wapite nacho, which kwa namna moja kimefanikiwa maana kuna watu wengi sana utawachota kwa uelewa mdogo
 
Mkuu, wewe utakua unalitambua hilo ndo maana kasema mwenyewe "Maana kwao upendo ukikata wanakuacha mchana kweupe. Halafu foreigners wengi hawawezi kuishi kiafrika, utateseka tu." ni kwasababu mindgames uchwara na umaskini wa kifikra na kihisia ni mdogo. Naona kuna mtu aliye comment wa kwanza hapo alise eti shida ni experience, ila alitaka kutafuta closure kwenye jambo ambalo kimsingi alikuwa anatambua ukweli wake. Na aina hii ya wanawake ndo wale manipulators, wanataka kuleta reverse psychology kwenye jambo lililo wazi

Wewe ndo unataka kuleta manipulation hapa, acha kuongea kitu kama vile hujui namaanisha nini.

Hii pov uliyokuja nayo hapa ni reverse psychology, na kutaka viability kwenye unreliable fact ya, eti experience, mimi nina experience ya kutosha na nimeliona pattern inajirudia kwenye jamii mara kibao tu
Tafuta uzoefu wa watu walioishi abroad au ambao wapo abroad, watakupa ukweli wa mtu mweupe. Wengine tulibahatika kuishi nao kidogo, tabia zao na akili zao ni ngumu kuziishi.

Ila kama unaweza unajiamini na unajitosheleza jaribu.

Hata hivyo karibu tena, naona ni jf ni kama vile upo ugenini, kila siku unaaga unaondoka, wenye nyumba wanaomba kila siku uondoke maana unawatia hasara tu, ila huondoki.
 
Mkuu, wewe utakua unalitambua hilo ndo maana kasema mwenyewe "Maana kwao upendo ukikata wanakuacha mchana kweupe. Halafu foreigners wengi hawawezi kuishi kiafrika, utateseka tu." ni kwasababu mindgames uchwara na umaskini wa kifikra na kihisia ni mdogo. Naona kuna mtu aliye comment wa kwanza hapo alise eti shida ni experience, ila alitaka kutafuta closure kwenye jambo ambalo kimsingi alikuwa anatambua ukweli wake. Na aina hii ya wanawake ndo wale manipulators, wanataka kuleta reverse psychology kwenye jambo lililo wazi

Wewe ndo unataka kuleta manipulation hapa, acha kuongea kitu kama vile hujui namaanisha nini.

Hii pov uliyokuja nayo hapa ni reverse psychology, na kutaka viability kwenye unreliable fact ya, eti experience, mimi nina experience ya kutosha na nimeliona pattern inajirudia kwenye jamii mara kibao tu
UNIKOME MPUUZI WEWE, nimekuuliza naona limekuingia unabaki kusema manipulations, nikufanyie manipulations wewe kitoto cha 2000 ili iweje, nimekuuliza kitu valid na wote wanaona hilo swali ni valid . Sitakujibu mashudu yako popote ukiandika, nilijua ni MPUUZI ila sikujua kwa kiwango hiki kuku we!
 
Yawezekana tulikua tunaingiza kichwa tu bwashee 🤔
That's the issue, mwili wa mwanadamu una adapt haraka sana koto la ndani na la nje viweze kuwa synced ndo maana labda unaweza kukuta labda mlifanya on the very first days anaingia au wewe ndo ulikuwa umefika kwao labda so ukakutana na kitu baridi. But hicho kigezo ni batili
 
Huyu hamna hamna ni 29, sema ndo hivyo ni mwezi mchanga.
Why y'all speaking shit? Kwa hiyo mtu akisema anaondoka ndo iwe literally?

Kinacho nifanya nijibu comments ni kwa sababu ni maamuzi yangu sio yenu wasenge (natukana kwa sababu mnadhani nitafuata ukuda wenu wa kisenge) na ni nyie ndo mnao sababishwa wate wapigwe ban kmmk.

Ww toka mwanzo huwa unapenda drama za kukuda. Kwanini usijadili mada kama wenzako? Mpaka ulete mambo ya kijinga?

Maamuzi ya kuondoka na kurudi ni yangu binafsi. Sio Matakwa ya wengine. Acha ushamba na ujinga
 
Achana nae huyo ephen ndo alivyo! Ukiweza mtie makwenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom