Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

Acha kutetea kitu unacho kijua fika ni kweli..

Ndo nyie mnaoingiza sympathy kwenye ukweli mtupu...

Sijasema wanawake wa kibongo wote ni wabaya, ila kutokana na utandawazi na malezi ya kuwa na heshima ya Uoga wamekuwa vichomi throughout the years.

Sio wote ila ni majority, sasa ya nini nianze kubeti? You know quite sure nilicho kizungumzia kwenye huu uzi usipindishe ukweli.
Huyo mwanamke utatuolea sisi? Hebu punguza ushamba na uzuzu hasa kuhusu mambo yako binafsi

Una drama za hovyo sana Kijana
 
Huyo mwanamke utatuolea sisi? Hebu punguza ushamba na uzuzu hasa kuhusu mambo yako binafsi

Una drama za hovyo sana Kijana
Unajua kwanini uko heated up na triggered ni kwasababu unayajua haya madhaifu ninayo ya sema ila ulitaka kuyaficha in the name of experience uchwara.

Acheni upotoshaji. Mnajua fika hawa wanawake wa huku hawana elimu, na hawajui washikilie wapi maana hawajafunzwa kujitegemea.

Heshima ya Uoga na matukio ya kijinga ndo yametawala ila bado tukisema ukweli wanaume nyie nyie bao yanawakuta naanza kutapatapa
 
Hiyo sio asili ya mwafrika , kama demu kafika chuo basi hauwezi kumuhesabu ana asili ya kiafrika .. Huku kwetu hakuna hizo mambo za kudai mali unless ukajimalize kwa hawa waliopitia elimu ya kikoloni..

Mwafrika hana asili hiyo , achana na kasumba hii ndoa kiafrika afrika zinadumu sana kwa sababu ya misingi yake ..Watu wamaskini wameoa huku vijijini , tena wanafurahia ndoa zao.
 
Usinipangie cha kuandika.
Comment yangu ni ya 1 wapi nilipotoka nje ya mada?
Nimekuita kiujanja umuone mdogo wako

Anakua kuelekea wapi wakati huyu ni mtu mzima mwenzako sio Gen Z

Gen z huyo ndio hawa tunaowalipia school fees bhana..

Huyu hamna hamna ni 29, sema ndo hivyo ni mwezi mchanga.

Kwa maandishi anayoandika ni 23yrs mpaka 25yrs huo mwaka uliotaja wapo humu pia ila sio huyu.

Mnaniudhi mnavyomuita huyu ni mtoto wa buku 2! Huyu ni mtu mzima mwenzenu jamani hamna hamna kazaliwa 1990🤣

Issue ni kuwa huwa hata hamjistukii, sasa kwa comments hizo kuna akili timamu kweli?

Mada iko so on point na wenzenu wengi wamekua ku reply mada ila wewe na utoto wako na akili isiyo pevuka umeamua kuleta drama bila kuchakata environment.

Nakujua huwa hauko timamu na una chase dopamine hits uchwara, so niliacha kabisa kuku entertain baada ya kuona hauna filter
 
Makasiriko ya nini wewe?

Unajua ninacho kusema kiko right na sasa unatoka na mapovu?

Unaanza kuingizwa maswala ya miaka? Yana uhusiano upi na hoja iliyoko mezani?

Acha kujifanya expert manipulator na wakati watu wanajua ukweli. Rudi na uongo wako wa kishamba uliko toka
KAJAMBE MBELE kuku maji wewe

Sijui chochote unachosema, naona mashudu tu huku..

Eti maswala ya miaka yanaingiaje? Huoni members katika hizi topics zako wakihoji umri wako? Au hujui kujifanyia tathmini ulivyo zuzu?!!

Kujifanya shababi kidume umeshatembea na wanawake wa wapi huna lolote shoga tu wewe. Watu ulivyo andika topic yako ya kutembea na mpangaji mwenzako hukuona walikuambia ni chai?, ndio ujue tunajua tukiona lishamba la wanawake!

Usijihangaishe kunijibu nitakuwa nimekuweka ignore list, sifaidiki chochote na MASHUDU YAKO, HAYA ENTERTAIN, HAYASTIMULATE MINDS ...Yapo yapo kuonyesha your state of mind ...ambayo ni hopeless!...Mr -All- right, go to hell mazafaka!.. unakujaga na hio attitude ya kuwa you have final say..wakikikuchallenge unaumia unasusa kama mtoto mdogo..mjinga tu wewe...na ndoto zako za kuoa foreigner na wakati uko Mazimbu huko!
 
Hiyo sio asili ya mwafrika , kama demu kafika chuo basi hauwezi kumuhesabu ana asili ya kiafrika .. Huku kwetu hakuna hizo mambo za kudai mali unless ukajimalize kwa hawa waliopitia elimu ya kikoloni..

Mwafrika hana asili hiyo , achana na kasumba hii ndoa kiafrika afrika zinadumu sana kwa sababu ya misingi yake ..Watu wamaskini wameoa huku vijijini , tena wanafurahia ndoa zao.
Unaongelea miaka ya 70,80 na early 90s tu mkuu. Sio kwa miaka hii.

Wanawake wa kileo hata wa vijini wako so brainwashed
 
KAJAMBE MBELE kuku maji wewe

Sijui chochote unachosema, naona mashudu tu huku..

Eti maswala ya miaka yanaingiaje? Huoni members katika hizi topics zako wakihoji umri wako? Au hujui kujifanyia tathmini ulivyo zuzu?!!

Kujifanya shababi kidume umeshatembea na wanawake wa wapi huna lolote shoga tu wewe watu ulivyo andika topic yako ya kutembea na mpangaji mwenzako hukuona walikuambia ni chai, ndio ujue tunajua tukiona lishamba la wanawake! Kum.a we

Usijihangaishe kunijibu nitakuwa nimekuweka ignore list, sifaidiki chochote na MASHUDU YAKO, HAYA ENTERTAIN, HAYASTIMULATE MINDS ...Yapo yapo kuonyesha your state of mind ...ambayo ni hopeless!...Mr -All- right, go to hell mazafaka!.. unakujaga na hio attitude ya kuwa you have final say..wakikikuchallenge unaumia unasusa kama mtoto mdogo..mjinga tu wewe...na ndoto zako za kuoa foreigner na wakati uko Mazimbu huko!
Nakuhurumia sana maana bado hauja pevuka na nikiona watu aina yako huwa nawahurumia tu maana, hauwezi kukaa chini u process bila kutokuwa na mapovu.

Kwanini tuishie kutukana? 😂
 
Sample yako ni ndogo sana kuhitimisha kwamba wanawake wa Kiafrika hawafai. Halafu hao wa mataifa mengine siyo wote wana hizo sifa unazitaja. Kwa kifupi ni unaweweseka.
Imeenda kwa kuangalia majority sio totality.

Sijasema kuwa wanawake wote wa kiafrika ni wajinga na siasa wanawake wote foreigners ni werevu
 
Issue ni kuwa huwa hata hamjistukii, sasa kwa comments hizo kuna akili timamu kweli?

Mada iko so on point na wenzenu wengi wamekua ku reply mada ila wewe na utoto wako na akili isiyo pevuka umeamua kuleta drama bila kuchakata environment.

Nakujua huwa hauko timamu na una chase dopamine hits uchwara, so niliacha kabisa kuku entertain baada ya kuona hauna filter
Nyani haoni kundu lake- nyani ndo wewe
Kwa akili yako ulivyoigawanya humu hata uandike jambo la maana mimi nitakumbuka tu mashudu yako.

Sababu ya kuacha kunientertain unaijua ila umeificha.

Umekalia niwe ndani ya mada.
Hao walio ndani ya mada na wenyewe unawapa maneno ya rejareja pyee
 
JF VAR CHECK

Mimi nimesoma vizuri huu Uzi wake wewe ndio umemuelewa vibaya yeye kasema atakuwa kando kwa muda na hata akirudi hautakuwa active kama mwanzo mbona ujumbe wake upo very clear
 
Mdogo wangu kipenzi.

HIcho unachokikimbia kwa sisi dada zako wa kimatumbi kipo dunia nzima.

Ushauri wangu,oa mwanamke mwenye kipato chake.Huyo akisema nakupenda atamaanisha ila sisi tunaotumia hela ya mboga kuchezea vikoba ndo hao usiowataka.

Hapa naongea na wewe niko somewhere in Asia nikitokea somewhere in Europe so I know what Iam talking about coz mashosti zangu ni wa zungu.Mentallity yao toward men ukilinganisha na ya wanawake wa kibongo ina tofauti ktk angle fulani ila ina mfanano ktk angle fulani.
 
Issue ni kuwa huwa hata hamjistukii, sasa kwa comments hizo kuna akili timamu kweli?

Mada iko so on point na wenzenu wengi wamekua ku reply mada ila wewe na utoto wako na akili isiyo pevuka umeamua kuleta drama bila kuchakata environment.

Nakujua huwa hauko timamu na una chase dopamine hits uchwara, so niliacha kabisa kuku entertain baada ya kuona hauna filter
Endelea kutukana nao hao mbona list bado ndefu mazee shida nini..
Mimi situkani kwa sababu ya nyuzi zenu.
 
Ebu jionee huruma kuniita mimi mshamba!
Wewe ndiye unatakiwa utulize kichwa unazeeka na uharisho kichwani.

Ushakua tambala la deki, kama huwezi kufanya kitu bora ukae kimya! Tokea unyimwe kua platinum memba unafanya mchezo wa kitoto kutishia kuondoka sekunde unarudi sasa sijui unamtingisha nani.
Daah aliomba Uplatinum wakamnyima..
 
Back
Top Bottom