Acha Maneno
Member
- Oct 6, 2018
- 8
- 2
SOLD....
250k nakupa na Wall Bracket pamoja na HDMI.TV peke yake Bei gani
Nitakuuzia kwa 280k Mkuu, nitakupa na HDMI pamoja na Pads zakuchezea.PS3 peke yake unaweza kuitoa kwa bei gani chief
Ni normal MkuuTv ni smart au normal?
150K kwa tv ,mfukoni .0747464239Habari zenu ndugu zangu?
Ninauza TV mbili za inch 32 Brand Hisense na PS3 moja.
TV moja ni 200,000 nakupa na Wall Bracket pamoja na HDMI Cable.
Ps3 nakuuzia kwa 250,000 ina magemu yote mazuri, nakupa na Pad zake za kuchezea pamoja na HDMI Cable.
SABABU YA KUUZA HIZI MASHINE,
Nilikuwa nachezesha PS mtaani (DSM) lakini nimepata ajira na ninahama Mkoa.
Unaweza kuja ofisini kwangu kujihakikishia kama utapenda Mkuu.
Mali hizi ni nzima na mimi ndio mmiliki halali.
Hizi ni baadhi ya Picha kutoka Ofisini kwangu,
View attachment 2990899View attachment 2990900View attachment 2990901View attachment 2990902
Mawasiliano ni 0626753305
Hapana Mkuu, ongeza iwe 200k.150K kwa tv ,mfukoni .0747464239
Kila la kheri kwa wauzaji na wanunuzi
Habari zenu ndugu zangu?
Ninauza Tv's mbili za inch 32 Brand Hisense na Ps3 moja kwa 900,000 tu!
Nilikuwa nachezesha PS mtaani (DSM) lakini nimepata ajira na nina hama Mkoa.
Unaweza kuja ofisini kwangu kujihakikishia kama utapenda Mkuu.
Mali hizi ni nzima namimi ndio mmiliki halali.
Hizi ni baadhi ya Picha kutoka Ofisini kwangu,
View attachment 2984651
View attachment 2984653
View attachment 2984654
NB: NAKUPA NA WALL BRACKET MBILI ZA UKUTANI
ASANT
650k...0715860702Habari zenu ndugu zangu?

ASANTE.