Karibu kwa huduma ya graphics, mabango, stickers, logo, UI/UX design na zaidi. (Bei imeambatanishwa)

buffalo44

JF-Expert Member
May 8, 2016
3,140
6,288
LOGO DESIGN
Mr. Smartwatch.jpg
Phonso d.jpg
Dare inspire.jpg


Bei:
50,000/=
2 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo.

70,000/=
3 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo.

BRAND IDENTITY

Bei:
Tsh 100 000/=
Logo, pamoja na patterns, matumizi ya rangi, na elements muhimu zinazobeba brand.

LOGO VECTORIZATION
images (27).png


Bei:
Tsh. 30,000

Kubadili logo yako yenye muonekana usio na ubora kwenda mwonekana wa ubora na kuifanya logo yako iweze kutumika sehemu zote (any background).

STATIONARY DESIGN ITEMS

Business Card
.
Bei: 20,000 Creative one

Warranty card-1.jpg


Warranty card
Bei: 15,000
Delivery card-2.jpg

Delivery Card

Bei: 15,000/=
Letterhead
Bei: 20,000/=

SOCIAL MEDIA POSTER DESIGN

gpf.jpg

Single Poster
Bei: 15,000/=

SOCIAL MEDIA POSTER PACKAGES

Muyo appp.jpg
Poster-1.jpg

Kwa walio na project ya muda au wanaohitaji kwa ajili ya mitandao ya kijamii, mbadala wa kulipia moja moja kuokoa gharama.

8 posters kwa mwezi, 2 kwa wiki
Bei: 70,000/=
12 posters kwa mwezi, 3 kwa wiki
Bei: 110,000/=
16 Posters kwa mwezi, 4 kwa wiki
Bei: 150,000/=



FULL BRAND GUIDEBOOK

Ikiwa na matumizi ya logo (Logo Usage), Font maalumu, matumizi ya rangi, picha na social media poster.
Bei: 300,000/=



COMPANY PROFILES, MANUAL, AND CATALOGUES

Kuanzia kurasa (pages) 12.
Bei: 100,000/=
Magazine.jpg




PRINTABLES

Flyers
A5 500/=
A4 600/=
Bei hiyo ni kwa kila piece kuanzia 100pcs
Kudesign 15,000/=
IMG-20221212-WA0004.jpeg




Business Card & Warranty card

Kuprint kuanzia 100 pcs
Upande mmoja 25 000/=
Nyuma na mbele 30,000/=
Delivery Card.
Kuanzia 100pc 25,000/=


Stickers
IMG-20230122-WA0005.jpg

Kwa kila square metre
Kuprint tu bila kubandika 20,000/=
Kuprint na kubandika 25,000/=
Kudesign 30,000/=



Calender

Kuanzia 500pcs
Bei kila piece 5,000/=
Kudesign 30,000/=



Vyeti (Certificate)

Bei kwa kila cheti 1,500/=
Bei itabadilika kulingana na uchaguzi wa materials kati ya karatasi ya wino au nakishi.
Kudesign. 15,000/=



Menu

Bei ni kwa kila menu.
Bila Lamination 5,000/=
Ikiwa na lamination 8,000/=
Kudesign 15,000/=




Roll up Banner

Small base 200,000/=
Wide base 250,0000/=

Kudesign 30,000/=



Mabango ya 2D&3D

Bei ya kila square metre 500,000/=




Bango la kawaida
wakala banner.jpg
IMG-20230202-WA0001.jpg

Bei kila square metre kuprint tu 20,000/=
Bei itaongezeka kukiwa na uhitaji wa kufunga juu.
Kudesign 25,000/=
Lightbox
IMG-20221224-WA0000.jpg

Bei kwa kila Square mita 250,000/=
Kudesign 30,000/=



Nb: Printing kukiwa na idadi nyingi ya kuprint bei inapungua.
Kwenye calender na 2D&3D signages karibu kwa mazungumzo.
Neno la muhimu

Mpendwa mteja nafurahi kupata fursa hii kuweza kusaidia biashara yako au shughuli zako kupata muonekano wa kipekee na kufikia malengo yako.

Napenda kukuhakikisha upo sehemu sahihi. Nimewekeza katika kukupa kipaumbele sana hivyo kuna nafasi ya kufanyia masahihisho mpaka uridhike. Upo front and center.

KUHUSU MALIPO.
Kazi yoyote haiwezi fanyika bila nusu ya malipo kulipwa (advance payment).

Naamini katika maarifa, Ujuzi, stadi na uzoefu wangu. hivyo kazi yoyote ile itafanyika kwa usahihi kufikia mategemeo yako.

Kuna nafasi ya marekebisho ya design mpaka ifikie mategemeo yako.

PRINTABLES
Lengo langu kuu ni kudesign, unakaribishwa kupata design bila printing pia, unaweza chukua design ukaiprint unapoona panafaa.

Naomba tuwasiliane ukitaka jua bei zake ikiwa hapo hazipo.

Nashukuru sana kwa hii fursa ya pekee kuwa sehemu ya kuleta mabadiliko ya kipekee kwenye shughuli zako.

Let's talk Business

Phone: +255 764 035 004 (WhatsApp/SMS naomba kutumia ujumbe kwa sababu nina tatizo la kutosikia)

Nakaribisha maoni yoyote yale, comment hapo chini ili niweze jibu kwa uwazi huenda ikasaidia na wengine.

Ahsante sana


Services Closer Than Ever.
Everyday Just For You
 

Attachments

  • final dare inspire.jpg
    final dare inspire.jpg
    450 KB · Views: 37
Back
Top Bottom