Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 607
- 1,097
Wakati nilipoanza biashara nilifeli sana tena nilipoteza mamilioni ya pesa. lakini huwa sijutiki kufeli kweli, elon ananikumbusha lazima tulipe gharama ya kugundua fursa. hapo ndo na mimi nambuka kumbe nimeshalipa gharama kufika hapa nilipofika.
Biashara uwa sio ngumu na hainga stress ila watu tu ndo uwa wanafanya biashara kuonekana ngumu. hayo ni maneno ya rafiki yangu Mchina wakati tukibadilishana mawazo ya kibiashara.
Biashara nyingi zinafel kukosa taarifa sahihi ya biashara. mtu anaamka leo kesho na yeye anaanza biashara. ukiona wasafi inawatazamaji wengi na wewe unaaza media yako bila kuwa na taarifa sahihi ya kitu unachoenda kufanya au hujuwi kwanini mmiliki wa wasafi ana hile media au kwanini ina watazamana wengi. yaan ujuwi lengo, au nyumba ya Wasafi kuna nini.
Acha kuwekeza pesa sehemu ambayo huna taarifa sahihi ya jumla kuhusu biashara unayoenda kufanya
Leo natumia uzoefu wangu katika biashara ni biashara gani unaweza kufanya kwa Tsh laki mbili na ukafika mbali sana.
Tunatumia vipi laki mbili kuanzisha biashara
Ingia alibaba
Nunua wired microphone pcs 50
Ukinunua pcs $1.50 hivi jumla ni sawa na $75
Gharama ya kusafirisha kutoka China mpaka Tanzania ni kama $10
Fungua FB page, weka picha zako alafu fanya matangazo kweny FB kila siku Kwa hile $15 iliobaki muda wa siku 15.
Tumia njia zingine kutangaza biashara yako, mfano kwenda kwenda maduka na mtaani.
Bei ya kuuza ni Tsh 20-25 elfu.
Au nunua wiresless microphone
Kwa Tsh $3-4. pcs 25 wewe uza 40-45 efu.
Hii soko lake ni kubwa sana na imenipa sana hela.
Kuna bidhaa nyingi ina soko kubwa na haiwez kukufelisha ila nimetoa mfano wa hzo mbili.