Natoa huduma ya kuuza vitu kwa wale walio na vitu stoo wanataka kuuza au kitu chochote unataka kukiuza

90sgeneration

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
275
375
Wakuu habari,

Kama kichwa cha habari kinavosema. Kuna wale watu humu ndani ambao wana mali zao na vitu vyao wangependa kuuza ili wabadirishe wanunue vingine, au wangependa kuuza ili waviondoe tu visijaze nafasi au havina matumizi tena au wanashida ya kifedha, basi karibu nikisaidie kuviuza.

Iwe ni simu, TV, Fridge, computer, gari, nyumba, viatu, bags, majiko ya gas na umeme, vifaa vya umeme, vifaa vya ofisini, Ac, vifaa vya jikoni, vyombo, na vingine vingi, niletee nikuuzie.

NOTE: Vitu viwe used, au hata kama ni vipya basi vile ambavyo bei yake haitawasumbua watu wa kipato cha chini na kati.

Nafanya businesss ya vitu used na naomba support yenu. Nitext whatspap au nitumie ujumbe au nipigie: 0752329591.

Karibuni.
 
Kitanda tano kwa sita unatowa bei gani?
 
Poa mkuu
Nimekusoma
 
Mitungi, kabati ya alminium ya ukutani ya chini kubwa na ndogo mitungi ya gesi rundoView attachment 2551181View attachment 2551183View attachment 2551180View attachment 2551182
1678629600483.jpg
 
Wakuu habari,

Kama kichwa cha habari kinavosema. Kuna wale watu humu ndani ambao wana mali zao na vitu vyao wangependa kuuza ili wabadirishe wanunue vingine, au wangependa kuuza ili waviondoe tu visijaze nafasi au havina matumizi tena au wanashida ya kifedha, basi karibu nikisaidie kuviuza.

Iwe ni simu, TV, Fridge, computer, gari, nyumba, viatu, bags, majiko ya gas na umeme, vifaa vya umeme, vifaa vya ofisini, Ac, vifaa vya jikoni, vyombo, na vingine vingi, niletee nikuuzie.

NOTE: Vitu viwe used, au hata kama ni vipya basi vile ambavyo bei yake haitawasumbua watu wa kipato cha chini na kati.

Nafanya businesss ya vitu used na naomba support yenu. Nitext whatspap au nitumie ujumbe au nipigie: 0752329591.

Karibuni.
🤝 Kwako takataka kwa mwenzio Mali.

🤝 Ewe mtu, mkoloni uliopitwa na wakati, una li redio lako la lasonic au player zimepitwa na wakati bado umeliweka ndani , hata zile tape zake au santuri hazitengenezwin tena wewe ni WA hovyo kabisa toa ndani.

🤝 Wewe jamaa wewe, una manguo ya zamani yamekubana au yamepitwa na wakati bado umeyajaza kwenye makabati, wewe ni WA hovyo Sana mbinafsi wewe toa wasaidie wasio jiweza.

🤝 Wewe mkoloni, unayeniangalia, umechongesha ma furniture ya zamani yaliyopitwa na wakati, fedha unazo hutaki kubadilisha miaka nenda Rudi mpaka cochi zimechooka bado umezingangania ndani nyumba Ipo kama karakana hovyo kabisa toa ndani.

🤝 Wewe mkoloni wa Zamani, una li Tv lako chogo la kizamani ambalo alikuwa haruhusiwe mtu yoyote kuliwasha isipo kuwa wewe, limepitwa na wakati wewe unadhani bado ni Mali umeliweka ndani toa huo uchafu unajaza nyumba kwa takataka.

🤝 Wewe lizee, zamani ulikuwa mtumishi au mfanya biashara mkoloni, ulifanikiwa kununua li gari ambalo hata lifti kutoa ilikuwa na masharti, limeshaharibika miaka kibao lipo juu ya mawe umeliacha nyumbani, ukidhani litafufuka, toa huo uchafu peleka kwenye vyuma chakavu
 
Hahah, asante boss.
🤝 Kwako takataka kwa mwenzio Mali.

🤝 Ewe mtu, mkoloni uliopitwa na wakati, una li redio lako la lasonic au player zimepitwa na wakati bado umeliweka ndani , hata zile tape zake au santuri hazitengenezwin tena wewe ni WA hovyo kabisa toa ndani.

🤝 Wewe jamaa wewe, una manguo ya zamani yamekubana au yamepitwa na wakati bado umeyajaza kwenye makabati, wewe ni WA hovyo Sana mbinafsi wewe toa wasaidie wasio jiweza.

🤝 Wewe mkoloni, unayeniangalia, umechongesha ma furniture ya zamani yaliyopitwa na wakati, fedha unazo hutaki kubadilisha miaka nenda Rudi mpaka cochi zimechooka bado umezingangania ndani nyumba Ipo kama karakana hovyo kabisa toa ndani.

🤝 Wewe mkoloni wa Zamani, una li Tv lako chogo la kizamani ambalo alikuwa haruhusiwe mtu yoyote kuliwasha isipo kuwa wewe, limepitwa na wakati wewe unadhani bado ni Mali umeliweka ndani toa huo uchafu unajaza nyumba kwa takataka.

🤝 Wewe lizee, zamani ulikuwa mtumishi au mfanya biashara mkoloni, ulifanikiwa kununua li gari ambalo hata lifti kutoa ilikuwa na masharti, limeshaharibika miaka kibao lipo juu ya mawe umeliacha nyumbani, ukidhani litafufuka, toa huo uchafu peleka kwenye vyuma chakavu.
 
Haya haya maboss zangu, ni siku nyingine tena, i hope mmeamka salama.

Endeleeni kuleta vitu, asante kwa wote walionitumia na mambo yanaenda vizuri, ile microwave yako inakashida kidogo umeiweka store ilete kuna ntu anaihitaji atarekebisha, yale makochi yako yako store yakete yasikujazie nafasi na huna mpango wa kuyatumia, ile feni yako, ile tv yako, ile music system yako, ile gari yako, ile nyumba yako, ile carpet yako, vile vyombo vyako, lile jiko lako, vile viatu vyako, zile nguo zako, ile meza yako ya tv, ile dressing table na vingine vyooote ambavyo hauvitumiii imeviweka store na huna mpango wa kuvitumia, leta tumuuzie anaehitaji na utabarikiwa.

Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom