Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Kwani mkuu nyumbani ki-asili ni wapi???Wanakuja, binafsi siwezi kabisa kuvaa hayo makitu.
Kwani mkuu nyumbani ki-asili ni wapi???Wanakuja, binafsi siwezi kabisa kuvaa hayo makitu.
Mbeya, TukuyuKwani mkuu nyumbani ki-asili ni wapi???
Tanteeeeh babeeh.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acheni mapenzi ya jinsia moja![emoji276]
Wa kwetuuuùuuu.Hahaha
Kwenye mapenzi shanga hutumika kusisimuana haswa pale mwanaume wako ajue kuzichezea vizuri
Kiuno cha mwanamke kinapendeza sana kikiwa na shanga mbili au 3 naona zisizidi sana zikizidi sana ni kero
Mwambie mtoto akuvalie shanga kwani hutaki kupata raha za dunia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taratibu we mrembonyie tatizo lenu mnakumbana na yale maburungutu ya crazy colour
shanga mwisho 3 same calor ziwe lighter nude zimefanana na rangi yako kwa mbali.
Kuna kaka yuko geti la mwendokasi kivukoni ana shanga kali balaa
NB: Na kiuno uwe nacho chenye mvuto
Anaumwa huyo na wala hazijuiShanga zinatoa harufu[emoji15][emoji15]
Kuna watu natamani niwa-tag hapa hahahahahahM mwenyewe napenda 3 za shanga Rangi moja tu gold[emoji1362] nikijiangalia m mwenyewe najitamani, mzee baba Ndio kabisaaa mnara unasoma 5G[emoji85]
Wengine sisi mkivaa tu basi ndio ticket mtuibie mpaka mchoke nyinyi kutuibia. Sisi ni mwendo wa ok tuZa Gold zinatupendeza wengi sana.
Na sikuhizi wanaunganisha zote 3
Huu uzi wacha nitoke.Daah napenda sana mwanamke avae shanga,
mambo haya wanayajua watu wa pwani sana sana...zikiwa 3 gold ndo balaa sasa....ngoja niishie hapa, bado watu wapo kazin sio weekend leo.[emoji2089]
Wewe ni me au ke mkuu??Samahanini wakuu naomba mnifundishe kuzitumia izo Shanghai maana sijui
Huu uchawi sasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huu uzi wacha nitoke.
Na alaaniwe alieniambia nije niuone😀😀😀😀😀
cc: anajijua