mtoto wa mjomba
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 571
- 843
Sijui ndo ushamba ila nkiyaona hayo mdude inakuja taswira ya uganga ganga ,na ikitokea nmekutana na mwanamke kavaa namchanaga kua asivae ten siyaataki
Yani umetaja shanga nikataman useme jamboHahahah kuhushu shanga au
Shanga sijawahi kujaribu lakini nahisi ni usumbufu tu hapa kiunoniShanga vipi?
Shanga sijawahi kuvaaOngelea kidogo kuhusu shanga....
We vaa zako kicheni CreditAnalyst shanga waachie wamang'at na wamasaiShangaa.... Sijawai vaa
Sasa Kwanini huone kama kahaba ?
[emoji106]Kuna zile udambwidambwi siunajui kwenye kuchikuchi huku umezishikilia zile inaleta mushkir
SijaolewaWewe utanifaa sana mkuu,,,umeolewa?
Kiuno kama frame ya mlangoHuyo jimama ni mchagga, usiniulize nimejuaje![emoji12]
Hahaha kama lipi hiloYani umetaja shanga nikataman useme jambo
Hahaha
Hahaha
Kwenye mapenzi shanga hutumika kusisimuana haswa pale mwanaume wako ajue kuzichezea vizuri
Kiuno cha mwanamke kinapendeza sana kikiwa na shanga mbili au 3 naona zisizidi sana zikizidi sana ni kero
Umekuwa msemaji wangusitaki uvae, vaa chain