princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,359
hahahaha sanaaHatari sana hii mambo
hahahaha sanaaHatari sana hii mambo
Kutovaa shanga ni kutojielewa??? Unafikiri unavyopenda wewe kila mtu ni hivyo hivyo binadamu tunatofautiana .
Kweli binaadam tunatofautiana mkuu.Kutovaa shanga ni kutojielewa??? Unafikiri unavyopenda wewe kila mtu ni hivyo hivyo binadamu tunatofautiana .
[emoji106]Kweli binaadam tunatofautiana mkuu.
By the way, I didn't mean to hurt or disrespect you mkuu. Peace!
tukuyu ipiiMbeya, Tukuyu
Cheni utamnunulia? Au ndo anunue yeye wewe uje kuweka kupiga mizinga na kusambaaMi napenda demu anayevaa cheni kiunoni tena iwe ya gold (moja tu asivae nyingi).
Mwanamke anayevaa shanga namuona Kama mpiga ramli tu.
😂😂Kei iwe na unyevu tu, mengine ni Historia.
🤣🤣🤣🤣DahCheni utamnunulia? Au ndo anunue yeye wewe uje kuweka kupiga mizinga na kusambaa
Unataka kumfanya nini 😂 ,Wewe ni me au ke mkuu??
Una miaka mingapi???
Wacha uchochezi hahahaahahahahhha.Unataka kumfanya nini 😂 ,
Namaanisha kama umeshaona models na ma miss wakitembea ule mwendo wao unaitwa cat walk
😂😂😂 anatafuta volunteer wa kumfundishaWacha uchochezi hahahaahahahahhha.
Eti asidiwe, sasa asaidiweje??
Wanakuja, binafsi siwezi kabisa kuvaa hayo makitu.
Swali hilo lilikuwa section c na lilikuwa na Mark's 10. Umepata 9.5Namaanisha kama umeshaona models na ma miss wakitembea ule mwendo wao unaitwa cat walk
So nikawa nakwambia zaidi ya kutumika katika kuamsha mashamsham pia katika kusapoti mwendo huo shanga ni catalyst
Ndio ajibu sasa. Kama ke tujue😀😀😂😂😂 anatafuta volunteer wa kumfundisha