cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 119,913
- 196,264
Dea umepotea San, nimekumiss had naumwa.Mie nimependa hizo rangi za kucha tu.
Amenipa idea, nikitoa hii niliyopaka napaka kama hiyo
Dea umepotea San, nimekumiss had naumwa.Mie nimependa hizo rangi za kucha tu.
Amenipa idea, nikitoa hii niliyopaka napaka kama hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mweeeehMi napenda demu anayevaa cheni kiunoni tena iwe ya gold (moja tu asivae nyingi).
Mwanamke anayevaa shanga namuona Kama mpiga ramli tu.
Nisaidie kujua matumizi yake aisee.Wengine hawajui matumizi yake wakivaliwa wanashangaa shangaa tu [emoji2][emoji3]
Shanga zinamatumizi mengine ya ziada, sio kuamsha maruhani tuuSwali gani hili, hayo ni mavazi ya kikahaba basically... japo kuna wafuata mkumbo wachache kwao ni fashion tu.
Hata kwa maelezo ya wavaaji humu wanasema shanga ni za kuamsha maruhani, sasa anayezivaa muda wote kama jezi/gwanda... maana yake yeye ni wa ngono 24/7.!
hahahhaMie nimependa hizo rangi za kucha tu.
Amenipa idea, nikitoa hii niliyopaka napaka kama hiyo
hhhaahhahaahahhaha ulinzi shirikishiWale tunaovutiwa demu akiwa kavaa hirizi kiunoni tuna komenti wapi?
UmeniachaShanga zinamatumizi mengine ya ziada, sio kuamsha maruhani tuu
Kwa wale wakutembea mwendo wa paka (cat walk) wanaelewa mchango wa shanga katika kufanikisha jambo hilo.
Vingine huwezi kuelewa kama sio mhusika
Superwoman gani hana takoUkweli ni kwamba sie wanaume especially mimi manzi akiwa mvaaji wa shanga basi ananimaliza kabisa. Kwanza shanga huleta muonekano mzuri sana pale zinapokuwa zimefanya mizunguko kadhaa kiunoni mwa mdada hivyo basi sie huwa tunasisimka sana na kujawa na uchu tunapoziona kiunoni kwa bahati mbaya siunajua macho hayana pazia bhana kwaio mtoto wa kike unaweza kupata mume kwa uvaaji wa shanga tu.
Vilevile asikwambie mtu bhana shanga zinaongeza ladha hasa kwenye tukio letu pendwa lile la kwenye 6x6 bed. Halafu uzuri wa shanga hutambulisha uhalisia wa mwanamke yaani mtu akiwa na wewe umevaa hizi kitu anafeel kabisa kuwa yupo na super woman.
Nawashauri wadada mlifanyie kazi hili ombi letu
AHSANTENI
View attachment 1682004
Hata sizijui kwani, ndo nimeona kwenye picha uliyoweka wee kwa post.Wewe ushavaa zako
Hao ni wa geita mkuu.Wengine hawajui matumizi yake wakivaliwa wanashangaa shangaa tu [emoji2][emoji3]
Za siku ukhty???😂😂😂😂😂😂