Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,516
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Wengine hawajui matumizi yake wakivaliwa wanashangaa shangaa tu [emoji2][emoji3]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Wengine hawajui matumizi yake wakivaliwa wanashangaa shangaa tu [emoji2][emoji3]
Kwanini????Wanakuja, binafsi siwezi kabisa kuvaa hayo makitu.
Hujiamini????Mie nimependa hizo rangi za kucha tu.
Amenipa idea, nikitoa hii niliyopaka napaka kama hiyo
kwelikabisa...kamoja kanapendeza sanaMi napenda demu anayevaa cheni kiunoni tena iwe ya gold (moja tu asivae nyingi).
Mwanamke anayevaa shanga namuona Kama mpiga ramli tu.
Hatubebi mawe humuUnajina lainii
Mi sijui nipoje za kuunganishwa kwa pamoja sizipendi napenda za kuvaa mojamoja tu ebu siku nitajaribu hizi za kuunganishwa
Mwenyewe nimeshangaa labda kakutana na mwanamke mchafu
uyu msomali hapanaKamoja kama hiki etiView attachment 1682572
Hao ni maboya tuWengine hawajui matumizi yake wakivaliwa wanashangaa shangaa tu [emoji2][emoji3]
Mabayamabaya tu mkuuKama mambo gani
nime imagine hapa aiseeMi sijui nipoje za kuunganishwa kwa pamoja sizipendi napenda za kuvaa mojamoja tu ebu siku nitajaribu hizi za kuunganishwa
Kujiamini hakuhusiani hata kidogo na comment yanguHujiamini????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaah nimecheka had baas lolWengine hawajui matumizi yake wakivaliwa wanashangaa shangaa tu [emoji2][emoji3]