Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Hii kitu bana mie nkiona hata bahati mbaya kwenye daladala napitiliza kituo niko radhi nchelewe nizione mpaka mwisho bana...zinanivuruga
 
Napenda mwanamke anaye vaa shanga ila kwa bahati mbaya girl friend wangu apendi
 
Napenda mwanamke anaye vaa shanga ila kwa bahati mbaya girl friend wangu apendi

Baadhi Wao wanapenda ufugaji makucha marefu

Ila shanga hawataki ambazo zimo ndani kwa siri.

Makucha marefu hawaoni tatizo.
 
Hahaha
Kwenye mapenzi shanga hutumika kusisimuana haswa pale mwanaume wako ajue kuzichezea vizuri

Kiuno cha mwanamke kinapendeza sana kikiwa na shanga mbili au 3 naona zisizidi sana zikizidi sana ni kero
Alafu awe na kihirizi kidogo cheusi kinaning'inia kwenye hizo shanga, mie ndio nachanganyikiwa kabisa na mahali naenda kutoa. Sijui ndio limbwata.
 
Nyie pisi kali mna tabu sana. Kwakuwa wewe ki-portable pisi kali ndio unamchekea mwenzio sio??[emoji1][emoji1][emoji1]

Humjui Miss Reneee wewe
Muache acheke mimi mwenyewe nilieambiwa nina minyama nimecheka. Huyo kabugira sijui laiti angekua ananifahamu angefuta alichokiandika.Nafikiri kabla hajaandika alijiangalia minyama yake shanga hazikai akakurupukia kwangu.
 
Si unajua sometimes fikraaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom