Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Sio poa nyie
IMG_20210121_095646.jpg
 
Ukiona unapata shida kusisimka had kuwe na mbwembwe kama hzo shanga etc

My blaza ujue unakaribia kupata upungufu wa nguvu za kiume.

Sie wangne akisema tu "nakuja"

Mnara ushasoma
 
Ukweli ni kwamba sie wanaume especially mimi manzi akiwa mvaaji wa shanga basi ananimaliza kabisa. Kwanza shanga huleta muonekano mzuri sana pale zinapokuwa zimefanya mizunguko kadhaa kiunoni mwa mdada hivyo basi sie huwa tunasisimka sana na kujawa na uchu tunapoziona kiunoni kwa bahati mbaya siunajua macho hayana pazia bhana kwaio mtoto wa kike unaweza kupata mume kwa uvaaji wa shanga tu.

Vilevile asikwambie mtu bhana shanga zinaongeza ladha hasa kwenye tukio letu pendwa lile la kwenye 6x6 bed. Halafu uzuri wa shanga hutambulisha uhalisia wa mwanamke yaani mtu akiwa na wewe umevaa hizi kitu anafeel kabisa kuwa yupo na super woman.

Nawashauri wadada mlifanyie kazi hili ombi letu

AHSANTENI

View attachment 1682004
Washauri dada zako pia wavae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom