Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Mie nimependa hizo rangi za kucha tu..
Amenipa idea,nikitoa hii niliyopaka napaka kama hiyo
karibu nikupake
Mie nimependa hizo rangi za kucha tu..
Amenipa idea,nikitoa hii niliyopaka napaka kama hiyo
We utanifaa nitakitafuta inaonekana unajua mambo sanaHahaha
Kwenye mapenzi shanga hutumika kusisimuana haswa pale mwanaume wako ajue kuzichezea vizuri
Kiuno cha mwanamke kinapendeza sana kikiwa na shanga mbili au 3 naona zisizidi sana zikizidi sana ni kero
💕💕 kapicha tafadhali... alisikika jamaa moja kwa mbali sana...Hahaha
Kwenye mapenzi shanga hutumika kusisimuana haswa pale mwanaume wako ajue kuzichezea vizuri
Kiuno cha mwanamke kinapendeza sana kikiwa na shanga mbili au 3 naona zisizidi sana zikizidi sana ni kero
Tanzania ya magufuli Ila naogopa kutaja kabila maana utaanza kusema nawasema wapare😂..Hahaha wa wapi huyo
Mie shanga sizipendi kabisa. Huwa zinatoa harufu. Mwanamke nyonga mwananguukweli ni kwamba sie wanaume especially mimi manzi akiwa mvaaji wa shanga basi ananimaliza kabisa.
kwanza shanga huleta muonekano mzuri sana pale zinapokuwa zimefanya mizunguko kadhaa kiunoni mwa mdada hivyo basi sie huwa tunasisimka sana na kujawa na uchu tunapoziona kiunoni kwa bahati mbaya siunajua macho hayana pazia bhana kwaio mtoto wa kike unaweza kupata mume kwa uvaaji wa shanga tu.
Vilevile asikwambie mtu bhana shanga zinaongeza ladha hasa kwenye tukio letu pendwa lile la kwenye 6x6 bed.
Halafu uzuri wa shanga hutambulisha uhalisia wa mwanamke yaani mtu akiwa na wewe umevaa hizi kitu anafeel kabisa kuwa yupo na super woman.
Nawashauri wadada mlifanyie kazi hili ombi letu
AHSANTENI
View attachment 1682004
Swali la kivulana kabisa, inaonejana hata kusoma hujuiWewe utanifaa sana mkuu,,,umeolewa?
Asantee,nipe location nijekaribu nikupake
Mie shanga sizipendi kabisa. Huwa zinatoa harufu. Mwanamke nyonga mwanangu
nyie tatizo lenu mnakumbana na yale maburungutu ya crazy colour
shanga mwisho 3 same calor ziwe lighter nude zimefanana na rangi yako kwa mbali.
Kuna kaka yuko geti la mwendokasi kivukoni ana shanga kali balaa
NB: Na kiuno uwe nacho chenye mvuto