Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,666
Ukweli ni kwamba sie wanaume especially mimi manzi akiwa mvaaji wa shanga basi ananimaliza kabisa. Kwanza shanga huleta muonekano mzuri sana pale zinapokuwa zimefanya mizunguko kadhaa kiunoni mwa mdada hivyo basi sie huwa tunasisimka sana na kujawa na uchu tunapoziona kiunoni kwa bahati mbaya siunajua macho hayana pazia bhana kwaio mtoto wa kike unaweza kupata mume kwa uvaaji wa shanga tu.

Vilevile asikwambie mtu bhana shanga zinaongeza ladha hasa kwenye tukio letu pendwa lile la kwenye 6x6 bed. Halafu uzuri wa shanga hutambulisha uhalisia wa mwanamke yaani mtu akiwa na wewe umevaa hizi kitu anafeel kabisa kuwa yupo na super woman.

Nawashauri wadada mlifanyie kazi hili ombi letu

AHSANTENI

IMG_20210120_154342.jpg
 
Dah me binafsi napenda sana shanga, nikiendaga club nikiwa na demu yani nikiziona tu shanga nachanganyikiwa kabisa na hata kama nilikua sina hisia za kumgonga basi zitakuja tu gafla. Nilishawahi kupitiliza kituo kisa tu niliona demu kavaa shanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom