Usivae Miss ReneeeWanakuja, binafsi siwezi kabisa kuvaa hayo makitu.
@Depal[emoji10]
View attachment 1682292
Za Gold zinatupendeza wengi sana.M mwenyewe napenda 3 za shanga Rangi moja tu gold[emoji1362] nikijiangalia m mwenyewe najitamani, mzee baba Ndio kabisaaa mnara unasoma 5G[emoji85]
fanya kunivalia mimi jamani.Wengine hawajui matumizi yake wakivaliwa wanashangaa shangaa tu [emoji2][emoji3]
Hebu nifundishe kidogo maana me no mmoja wapo....nashangaa tuuWengine hawajui matumizi yake wakivaliwa wanashangaa shangaa tu [emoji2][emoji3]
Mi sijui nipoje za kuunganishwa kwa pamoja sizipendi napenda za kuvaa mojamoja tu ebu siku nitajaribu hizi za kuunganishwaZa Gold zinatupendeza wengi sana.
Na sikuhizi wanaunganisha zote 3
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulia hivyohivyo
Mwenyewe nimeshangaa labda kakutana na mwanamke mchafuShanga zinatoa harufu[emoji15][emoji15]
Niku nunulie?nyie tatizo lenu mnakumbana na yale maburungutu ya crazy colour
shanga mwisho 3 same calor ziwe lighter nude zimefanana na rangi yako kwa mbali.
Kuna kaka yuko geti la mwendokasi kivukoni ana shanga kali balaa
NB: Na kiuno uwe nacho chenye mvuto
nunua tu mkuuNiku nunulie?
Asee wewe jirani yangu Kijitonyama, kumbe unazitinga eeenhe?Mi sijui nipoje za kuunganishwa kwa pamoja sizipendi napenda za kuvaa mojamoja tu ebu siku nitajaribu hizi za kuunganishwa