Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Muache acheke mimi mwenyewe nilieambiwa nina minyama nimecheka. Huyo kabugira sijui laiti angekua ananifahamu angefuta alichokiandika.Nafikiri kabla hajaandika alijiangalia minyama yake shanga hazikai akakurupukia kwangu.
Hajui kwamba wewe ni miss temeke

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mie nimependa hizo rangi za kucha tu.

Amenipa idea, nikitoa hii niliyopaka napaka kama hiyo
Nakuomba kwa heshima na taadhima hebu niwekee picha ya vidole vyako vikiwa na rangi unayosubiri kuibadilisha,pengine Ni nzuri kuliko hiyo.
Nakuomba uweke Basi.
 
kuna miili ya shanga nyie wadada sio mtoke wote muende mkanunue shanga

wengine kausheni,inatosha mkiwakilishwa na wenzenu msije haribu ubora wa shanga
 
Muache acheke mimi mwenyewe nilieambiwa nina minyama nimecheka. Huyo kabugira sijui laiti angekua ananifahamu angefuta alichokiandika.Nafikiri kabla hajaandika alijiangalia minyama yake shanga hazikai akakurupukia kwangu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] pole Miss Reneee, kumbe wewe ni PISI KALI, naomba sasa uniruhusu nije DM tuyajenge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom