Halafu we mtoto nakupenda, sijui kwa nini huwa tunakutana muda huu!!!
..........changanya na mavi ya mwisho !........hakika itakusaidia kufanya maamuzi mazito na ya busara.
Pengine inaweza ikakutuma kwenda magogoni kudai ticket zote za safari za nje zilizo bakia. !
Mzee mwenzangu DC usishangae, ndo watoto wa digitali hawa
city hunter itakuwa tiba tosha.Hahahaaaaaaaa! (Its not a laughing matter!)
Ukisikia YALAAAAAAAAH!!!!!! Ujue mtu mzima mwenzio yamemfika na yamemshika pabaya!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi nakushauri uangalie KOREAN MOVIES ni VERY ADDICTIVE KULIKO BANGE!
Anza na zifuatazo
Worrior Don Soo
The princess's man
City Hunter
The Land of Wind
The painter!!!!!!!
kama mie mtoto nashukru kabisaaaaa kwani mtoto hafanyiwi maovu loh hayo ya muda huu ni break time
Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.
Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!
Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.
Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...
Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo

Kwani nimesema nakufanyia mambo mabaya....walaaa, miye nataka nikupetipeti, nikubusu kinda langu, nikubadilishe
pampas nk nk nk nk.
Naomba
kama huna ushauri wa
maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.
Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa
kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya
utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee
nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata
kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind
yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani
..unakuwa haupo happy saana!
Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka
nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki
zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana ..
halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa
kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.
Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu
mara mbili eti. Naombeni ushauri...
Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
mmmmmh kwa kheri.
Kwani Babu ukisema simu kachukua bi mdogo wa majani mapana itakuwa tabu? Siye wajukuu tutafurahi tu na kunong'onezana "kumbe Babu yumo"!
city hunter itakuwa tiba tosha.