Natamani kuvuta bange!

Natamani kuvuta bange!

Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.

Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!

Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.

Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...

Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo

wangu unahakika na hii kitu...?
 
nitavuta tu hapa home nikifanikiwa...ila why not chooni?

kuna babaangu mdogo miaka ile ya tisini alinittuma nikatafute ile karatasi nyepesi ya kuvutia bange inapatiakana kwenye paketi ya sigara inag'aa hivi ( wavutaji wanaijua), basi akaivuta bange yake namtazama baada ya muda akaanza kukimbia anasema eti nyumba inamove ilikuwa kichekesho hadi mzee wake (babu yangu) akauliza kafanya nini ikabaki siri yangu kiukweli sikusema kafanya nini ila walimfuga kamba, badae ile hali ilikwisha ckusikia tena akinituma ile karatasi so smile vuta tu kwa matokeo bora!!!!!!!!!!!
 
Bange c nzuri ckushauri.hapa tafuta actvties ztakazo kuweka buzy jitahdi kula gudtym kwa sanaaaa mfano kwenda mzki, nenda beach kapunge upepo,kutembelea ndugu na jamaa,kujikita kwenye aina yeyote yamichezo eg swming,footbal or any other, uzuria ibadani na matamasha ya uimbaji yani meksure ratiba yako ipo full from j3 to j2.hope ukifanya hayo itasaidia kupunguza boredom inayopelekea ufikirie kutumia bange
 
Baada ya bangi kunikolea sasa nimetafuta unga niendeleze furaha lakini sijapata
 
Maisha ya sasa usipo kura bange nakuona shujaa!!

Kwanza bei yake ndogo, pili stimu yake imetulia na inaleta usingizi murua
 
1480492524872.png
 
Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.

Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!

Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.

Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...

Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
pole besti aisee nakuomba usivute bange ni hatari kwa maisha yako na afya yako nakushauri umuombe Mungu atakusaidia na uwe mtu wa kusali sana na kuwa mtu ibada itakusaidia sana ondokana na wazo la kuvuta bange unamtendea dhambi muumba wako

ila bestito ulipotelea wapi nimekumiso ngoja nimwite TMK au mwekundu
 
Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.

Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!

Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.

Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...

Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
mbona kama umevuta ndo ukaandika hahaha
 
Smile wangu, duh. Bora uendelee na Reds tu bangi waachie wengine
 
My friend, shetani ni mbaya sana...liitie jina la Yesu, omba utisho dhidi ya pepo wabaya, jiombee rehema na baada ya hapo, kubali kuwa mtoto wa Yesu!..huatajuta, ni raha tele,maisha bure,kwa kuwa dereva wa maisha yako atakuwa yesu, shetani hataomba rift...
Hapo mwisho ungemalizia na valley kabisa ili iwe "rift valley"
 
Nimejifunza bangi nikiwa na miaka 40, mwezi February 2017 natimiza 43...sikuvuta kwasababu ya msongo wa mawazo wala nini...nilikuwa na resit form six ya mama Ndalichako hivyo nilivuta ili kemia ipande.
Bangi INA faida sana kama utaitumia vizuri. Navuta walau Mara 2 au 3 kwa mwezi, nitaje kwa uchache faida zake:
..inakata kitambi balaa, hata kama utashindilia misosi ovyo, inaleta heshima kitandandani, unakuwa mtulivu na mzingativu sana, inaondoa hali ya kukaa umeshiba( tumbo linasaga chakula kwa halio juu). Kabla sijajifunza nilikuwa nasumbuliwa na aleji ya vumbi, na mazingira yetu huku vumbi aliepukiki na kuna wakati nilikuwa kama nataka kupatwa na asthmatic attack ila huu mmea umeondoa kabisa shida hiyo.

Nikijaliwa nitaandika ilikuwaje Siku ya kwanza hadi hivi sasa.
 
Hahaahahahahah naskia wale jamaa wanakuwaga watu flan wa aman na wanakuwa hawapendi kelele kabisaa

Da kupanga ni kuchagua ila ni bora ukajimix na watu / tafta msaada wa kutoka hapo mahali / travel some where
 
Ila kuitengeneza yaani huwa wanaiunda kiakili , kimachale machale mbayaaa siji kwa nini
 
Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.

Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!

Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.

Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...

Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
yes,bange iko poa sana.Ila uwe na uhakika wa kipato,ukiwa choka mbaya utadata.Hiyo hata sisi wabunge tunatandika na tunatoa michango makini tu mjengoni
 
wewe vuta tu, mbona hata mbunge wa Geita vijijini alisema bungeni kuwa bangi iruhusiwe kwa kuwa wasukuma wakivuta wanalika ekari mbili kwa siku!😀
 
Back
Top Bottom