twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Madhara ya vibuti haya.Umri unaenda husband haonekani.Vuta bangi utampata mvuta bangi mwenzio.
my my my!doing what i do most..Hahahaaaaaaaa! (Its not a laughing matter!)
Ukisikia YALAAAAAAAAH!!!!!! Ujue mtu mzima mwenzio yamemfika na yamemshika pabaya!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi nakushauri uangalie KOREAN MOVIES ni VERY ADDICTIVE KULIKO BANGE!
Anza na zifuatazo
Worrior Don Soo
The princess's man
City Hunter
The Land of Wind
The painter!!!!!!!
pole sana,nafikiri utakuwa na msongo wa mawazo its better ukamwona physchologist....au jaribu kufanya au kuwaza vitu ambavyo vitakufanya uwe na furaha....fanya mazoezi.....piga marufuku mawazo hasi....jipe mda wa kutosha wa kupumzika....nadhani hayo machache yanaweza kukusaidia!Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.
Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!
Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.
Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...
Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
my my my!doing what i do most..
Umesahau IRIS na ATHENA
Hii ni bange tosha after a day of hustling.
Usiku mwema darling
aongezee na 48 hoursHahahaaaaaaaa! (Its not a laughing matter!)
Ukisikia YALAAAAAAAAH!!!!!! Ujue mtu mzima mwenzio yamemfika na yamemshika pabaya!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi nakushauri uangalie KOREAN MOVIES ni VERY ADDICTIVE KULIKO BANGE!
Anza na zifuatazo
Worrior Don Soo
The princess's man
City Hunter
The Land of Wind
The painter!!!!!!!
nipe tips mdau
ila nimeamini watu wanavuta bange sana aiseee!
yap kila mtu anamarkert product yake...ni majanga sana..watu na heshima zao humu