Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Siku zote mwinue Mungu kwa kusema maneno haya:-
Ee Mungu wangu inua moyo wangu ili nikutumikie wewe;
Katika furaha nikuone wewe;
Katika shida na majaribu uwe mwamba wangu;
Katika kukata tamaa uwe tumaini langu;
Katika kazi zangu uwe mwalimu na msimamizi wangu;
Katika hitaji la moyo wangu uwe jibu langu; AMINA.
Nina uhakika hutakuwa na misukosuko tena moyoni mwako. Mungu akutangulie.