Natamani kuvuta bange!

Natamani kuvuta bange!

Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.

Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!

Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.

Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...

Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
Una genye chronic...
 
Mtafute jamaa anaitwa emu to ze pii

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.

Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!

Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. Halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.

Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...

Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo

c.rap ..

Thanks for wasting my time ...
 
nishauri hapa hapa pm sio nzuri zinamkaribisha shetani ndugu

My dear Smile since hujawahi vuta you don't know what you've been missing, ile ni dawa si tu ya stress bali inatibu mengi, Nilianza kuivuta in the mid 70s and now I'm 58 years young na nina nguvu kupita vijana wengi tn walioko kwenye 30s, go for herb n ye shall see the truth!
 
Last edited by a moderator:
my dear smile since hujawahi vuta you don't know what you've been missing, ile ni dawa si tu ya stress bali inatibu mengi, nilianza kuivuta in the mid 70s and now i'm 58 years young na nina nguvu kupita vijana wengi tn walioko kwenye 30s, go for herb n ye shall see the truth!
aisee nashukuru sana mwenyekiti najua huwezi nipotosha
 
nishauri hapa hapa pm sio nzuri zinamkaribisha shetani ndugu

My dear Smile since hujawahi vuta you don't know what you've been missing, ile ni dawa si tu ya stress bali inatibu mengi, Nilianza kuivuta in the mid 70s and now I'm 58 years young na nina nguvu kupita vijana wengi tn walioko kwenye 30s, go for herb n ye shall see the truth.!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna bange inayoondoa mawazo kama dushelele, tena faida unavutia chini na hushiki kijiti.
 
Back
Top Bottom