Natamani kuvuta bange!

Natamani kuvuta bange!

Baki kama ulivyo hapo tu hutumii kilevi chochote lakini unajihukumu nakujuta je ukianza kutumia hayo maupuuzi si ndio yatakuongoza kuinyofoa roho yako mwenyewe na ukaona unafanya uamuzi sahihi? Smile gani hilo au labandia? Jiamin jipende na ujiheshimu halikadhalika vivyo hivyo wafanyie wanaokuzunguka mbona utaona we ndo unatakiwa uishi hadi mwisho wa duni[Tahadhari dharau kila baya unalotendewa chukulia kama ni zuri kwako maana sidhani kama kuna baya zaidi kama mtu anataka kukudhulumu uhai wako] usiku mwema
 
Una akili, na mie nimemshauri atafute marijuana ya chini.
Yani ukitaka maisha yawe shubiri, kutana na bosi mwanamke, hana mume alafu anajifanya mlokole kwenye hayo mambo. Ni kisirani fulu kuanzia asubuh had jioni. Lakini akute mutu wa kumsugua... kazini mtaishi kwa amani.
 
baki kama ulivyo hapo tu hutumii kilevi chochote lakini unajihukumu nakujuta je ukianza kutumia hayo maupuuzi si ndio yatakuongoza kuinyofoa roho yako mwenyewe na ukaona unafanya uamuzi sahihi? Smile gani hilo au labandia? Jiamin jipende na ujiheshimu halikadhalika vivyo hivyo wafanyie wanaokuzunguka mbona utaona we ndo unatakiwa uishi hadi mwisho wa duni[tahadhari dharau kila baya unalotendewa chukulia kama ni zuri kwako maana sidhani kama kuna baya zaidi kama mtu anataka kukudhulumu uhai wako] usiku mwema
sijihukumu mkuu mi najipenda kuliko chochote nataka tu kujiongezea furaha kama wenzangu
 
yani ukitaka maisha yawe shubiri, kutana na bosi mwanamke, hana mume alafu anajifanya mlokole kwenye hayo mambo. Ni kisirani fulu kuanzia asubuh had jioni. Lakini akute mutu wa kumsugua... Kazini mtaishi kwa amani.
mi mtu peace sana mbona tuko njoo uone....service with a smile....
 
mi mtu peace sana mbona tuko njoo uone....service with a smile....
Hahahaa... Siku hizi nikienda ofisini nikahudumiwa na mwanamke (age 27+), nikitoka hapo najua huyu mtu alilala mwenyewe au na jogoo...
 
hahahaa... Siku hizi nikienda ofisini nikahudumiwa na mwanamke (age 27+), nikitoka hapo najua huyu mtu alilala mwenyewe au na jogoo...
mimi wateja kwangu ni wafalme kwa kweli no matter what
 
nitabalance mkuu vipi unatumia?

Ndio, hasa katika meditation and relaxation. Pombe, sigara, na madawa ya kulevya sio vizuri, Herb is the healing of the Nation. And still, nafanikiwa na kuendelea vyema katika shuguli zangu kutokana na kubalance maisha yangu.
 
mimi wateja kwangu ni wafalme kwa kweli no matter what
But nature is nature... Hata ukiigiza, kwa wazoefu kama mimi nitajiaemea tu, dah.. huyu dada abarikiwe maana japo amenihudumia kwa bashasha zote, ni kwa sababu tu mi ni mteja...
 
Ganja, msumali, mwiba kawa kweli haina maana smile itakufanya urelax kwa muda tu lkn ukiizoe itakufanya uwe mtumwa haswa pale muda wa kuvuta unapowadia nawe ukawa busy au mbali na mahali unapata utashindwa kufanya kitu chochote mpk ustue kijiti ndipo akili ikae sawa vile vile moja ya madhara yake ni kuslow down memories unaweza kuwa mtu wa kusahau sahau tu hta ukiweka simu mezani inaweza usikumbuke kwa wakati muafaka itakutake times utafute mifukoni ma pengine madhara ni mengi kiujumla kuliko faida..sikushauri uvute kwa umri wako huo kwani utakuwa mtumwa sana wa iyo kiti nimeona wakubwa zangu waliofanya maamuzi kama yako kwenye ages kubwa wanapata tabu sana kuachana nayo..kikubwa cheki movies...soma vitabus na kama storiea una watu wa kukutana nao jimix ili uache hayo mawazo mabaya..piga hata mazoezi ya yoga
Walking. .swimming itakusaidia
Ganja ni tamu ila ikikushika ukubwani itakupelekesha mbio acha tu utotoni ulikulia wapi weye? Wenzako .kwenye 17 mpk 25 hivi walishamalizaga hayo makitu. Pole jitahidi utayashinda majaribu.
 
Back
Top Bottom