Natamani kuvuta bange!

Natamani kuvuta bange!

Shukrani mkuu nitafata maelekezo

Asante, lakini kumbuka, Kila kitu kinatakiwa kitumike katika kiasi chake, i believe kuwa Marijuana ni relaxant nzuri when its used is a safe way, but too much of everything is not good. Balance ure life.
 
asante, lakini kumbuka, kila kitu kinatakiwa kitumike katika kiasi chake, i believe kuwa marijuana ni relaxant nzuri when its used is a safe way, but too much of everything is not good. Balance ure life.
nitabalance mkuu vipi unatumia?
 
Mi nakushauri!! Achana na bange anza kula MIRUNGI, ila nakufilisika uwe tayari!, ila ni ulevi mzuri!!*
NB: mi sijawahi niliona kwenye movie za kisomali!
 
Hii kitu ni nzuri sana kama ukifata masharti. Vinginevyo utawehuka.
 
nitavuta tu hapa home nikifanikiwa...ila why not chooni?

..........changanya na mavi ya mwisho !........hakika itakusaidia kufanya maamuzi mazito na ya busara.
Pengine inaweza ikakutuma kwenda magogoni kudai ticket zote za safari za nje zilizo bakia. !
 
..........changanya na mavi ya mwisho !........hakika itakusaidia kufanya maamuzi mazito na ya busara.
Pengine inaweza ikakutuma kwenda magogoni kudai ticket zote za safari za nje zilizo bakia. !
magogoni hapanihusu mkuu
 
mi nakushauri!! Achana na bange anza kula mirungi, ila nakufilisika uwe tayari!, ila ni ulevi mzuri!!*
nb: Mi sijawahi niliona kwenye movie za kisomali!
bange ni ghali kuliko beer?
 
Tafuta bwana akusugue vizuri,huwa inapunguza stress.. Bangi siyo nzuri hasa ikikuzoea ni ngumu kuacha

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
nakuja soon

Kabla ya kwenda, tambua ukivuta bange unakuwa careless n less serious, pia unakuwa too slow to make decision..huyu ni
mvutaji mzoefu..na akiacha kuvuta mwili unakuwa mchovu na maumiv ya viungo na kichwa! Pia anakuwa na frequently loss of memory!

Kwa begginer kama wewe unapotaka kuelekea..once u smoke unakuwa na mawenge, unakuwa mtu wa kujishtukia, illusination n if u can not control ur mind ndo unaelekea kudata coz unakuwa na pressure kubwa kichwani.

pia weed inakausha maji mwilin so mtumiaji anatakiwa kunywa maji mengi plus matunda. Pia weed inaongeza heart beat so kama unatatzo la moyo usiguse.

ni hayo tu. Speaking from expirience!
 
Umechelewa...ukianza na huu unaouita uzee utawehuka..wacha niwthold ushauri wangu maana umeshaclassify aina ya ushauri uliokua unahitaji na ushauri usiokidhi mahitaji yako umeukataa from the first...
 
Back
Top Bottom