Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 13,987
- 27,142
Juzi kati baada ya kusoma bandiko la mlevi min -me la kuhusu bintiye na kukosa upendo kwa mama yake, ambaye Wali kuwa separated na kumfanya min kuwa single father, so mtoto kukosa motherly presence ila fanya amchukie..
actually, ile issue ilinifanya nijione ndani yake.
Why..?
Kwa sababu scenario hiyo ilinifanya nibebe maumivu kwa takriban miaka 20, ya maumivu, na kuanza kuona kuwa ili stem from family issues..
Sitaki kueleza stori yangu, because Nitakuwa nafanya repetition na ni ndefu sana.. Ila ukweli useme ya kuwa...
Zawadi pekee na bora utakayo mpa mtoto wako ni kumfanya ajihisi anatosha, anapendwa, anaweza, na ana deserve kile anataka kutimiza... Ili mradi kiwe na manufaa both kwake na jamii inayo mzunguka.
Binadamu yuko so hardwired kwa ajili ya connection(ukaribu na watu au jamii imzungukayo)... Ila hii huwa inakaziwa sana akiwa bado yu mtoto. Yaani mwaka wa kwanza hadi wa 7.. Na Aristotle alishawahi kuliweka wazi hilo...
Ila bado hiyo sio kigezo mtoto yaani akiwa under 18 bado hajapevuka both psychological and emotional...
Ngoja niwape siri wazazi, wengi hupenda kudhani kuwa trauma and depression inatokea pale unapo mwdhibu mtoto au kumnyima mahitaji, la hasha.. Mtoto huumia zaidi pale Atakapo achwa kusikiliza, atapo nyimwa uhuru, atakapo fanyiwa kujiona hafai...
Ubaya ni kuwa mtu akiumizwa na trauma, ku reverse au kupona juea ni almost impossible... Maana ile crack inaenda deep na inaficha na shade aspect...
Unashangaa mtoto ana zamia madawa ya kule ya, ushoga, umalaya, kuvuta ganja, anakuwa mtu mwenye hasira, aside shaurika.... Inshort ni kuwa hii demage hata yeye mwenyewe hawezi kuitrack... Na ata akijaribu huwa anaishia kupata maumivu kwa sababu reality ya ndani inakuwa tayari imesha kuwa ngumu kubadilika.
Binafsi niliingia katika uraibu mbaya sana wa porno graphics... Mimi ni soo sensitive person, na as I said before malezi kidogo ilikuwa changamoto. Sikupata ile fatherly love ya kunikanya vyema, soo nikawa soo reserved, badala ya kufuata stimu za nje kama pombe(japo nilijaribu ila sikuipenda), wala kufatilia mademu(nilitokea kuwachukia kwa sababu ya kuishi na step mother.. Alinifanya niwachukie wanawake).. So basically nilikuwa exposed kingono at a very young age. Kufupisha stori kwa sababu ya hate na insecurity nilokuwa nayo kwa wanawake sikupendelea sana kuwa kwenye mahusiano. Niliingiwa kwenye uraibu wa sheria mkononi. Na kwa kuwa huwa nina sensitivity kubwa haikuwa shida kwangu kufika climax.
Na hiyo ni just one aspect ya madhara ya childhood wounds.. Ila nikianza kueleza how deep this rabbit hole goes. Itabidi niweke iwe series.. Ila ni kuwa matokeo ya maumivu ya utotoni hubadilisha world view ya mtoto akuwapo mtu mzima. Na tena hawezi kutambua maana inaingia kwenye operating system yake, anaishi na kuona dunia kupitia lens ya hayo maumivu.
Wazazi mlio na watoto wadogo, nawaomba sana mzingatie kidogo nilicho andika... Muhimu ni kuwa mtoto akiwa na shida hasa ya mahusiano na nyie kama wazazi angalieni na mtoe msaada wa kihisia mapema iwezekanavyo, wakubwa mtoto alisha pita umri wa labda miaka 15 hvi huwa ni kama haiwezekani tena kurudi.
Kuna hii tabia ya wazazi kuwafanya watoto wabebe msalaba yao, yaani just because alipitia maisha flani, basi anasambza hiyo trauma kwa wanawe ili nao wawasambazie watoto wao.
Tuache huu ujinga, ni waambie tu ya kuwa ukifanya upendo na kutosambaza hiyo trauma uliyo nayo... Kwa kiasi kikubwa Uta heal pia japo itakuwa soo gradual ila utaona mabadiliko pia.
Mimi sio mtaalamu wa kisaikolojia ila hata hii industry kwa huku kwetu imekaa kiupigaji tu, hawajui chochote ila kumezeshwa tu vitu visivyo akisi uhalisia. Wazazi ndo mnajua watoto wenu vizuri, jitahidini kuwa mwanga kwa kizazi kijacho, acheni kufanya vitu kwa mihemko na kukua ego zenu. Ni ujinga na ushamba, which mtoto wako akikuwa atakuchukia na utakufa vibaya tu
Mabadiliko ya naanza na wewe mwenyewe sio mzazi tu hata wewe dada, kaka, mjomba, shangazi... Do good to these innocent souls...
Nawishi huu ujumbe ueleweke watu wasirudie nilicho pitia kwa miaka 20.
In peace and light..
de Gunner
binti kiziwi Tsh Mshana Jr mshamba_hachekwi ShesRise_1 Binti wa zamani Me and me Yoda Joanah