Hv Jack mbona unajijibu peke yako?Nko hapa mlangoni, waiting for you to knock
Muhtasari tafadhali...
Sina ugwadu, I just have a feeling that you could be so sweet. At 46 you've done it all, unataka kidume cha kukupa utamu. The good thing is, no contraception is needed anymore
nakuona shem nakuona...jiamin jiamin
shem unanifatilia shem??? kwani kila nikipita na wewe unapita??? i mean kwenye jukwaanakuona shem nakuona...
Shem kwa hiyo unamaanisha mimi Spy?? Hapana ni katika namna fulani hivi ya kukusabahi tushem unanifatilia shem??? kwani kila nikipita na wewe unapita??? i mean kwenye jukwaa
nimeona shem wala wasi wasi ondoa kabisa.Shem kwa hiyo unamaanisha mimi Spy?? Hapana ni katika namna fulani hivi ya kukusabahi tu
Tabia hii ya kunitenga... kwa ushenzi ntakuadhibu kwa busu la mdomoni...Babuuuuu skamooo.....
Huyu ndio alieniibia daby wanguHuyo Le mahabat bado ni siri eeeh, usije kuta wangu kaja kwako na mbwembwe zote hizo halafu mie nabaki kuchekelea uzi.
nauliza tu Mkuu
Cc. Daby shem wangu nisaidie mawazo
Hahahahahaaa
Waalaaah, Le Mahabat wa Kasie hata sio siri mbona anajulikana sana tuu.... wataka nirudie kumtaja hapaa?
Maadam haina madhara, Le Mahabat wa Kasie ni...... Daby ♡♡♡
Kama ni wako pole maana utakuwa ushaachwa au ndo kaniacha mie kaja kwako...... ngoja aje aweke msisitizo hapa.
Ila naona unamuita shemeji, natumai haulagi.... au hainaga ushemeji... hehehehehe
Gooday miss.
Shem haha...
Jiandae kuimba wifi huyo huyo wifi huyo wifi huyo huyo wifix2 hahaha
FyuuumbaaafyuuuHaha mamy nitasemaje sasa mimi.
Ok, I always remember that day I met you. my heart said go get you now you live in my world and I live in your world.
Dady love you much(nigerian voice).
OvyooooAaauuwww Daby.... I laaab you so much oooo (in Nigerian voice too).
Sasa km ndio hivyo si uchukue wazee wenzioHuo ndo uhalisia, Kasie ni mzee bin kibibi bin kigagula, sio mschana.
hadi shunie?!