de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,155
- 22,077
Kadri umri unavyozidi kusogea, nimekuja kutambua ukweli mzito kuwa no one knows who you are.
Unazaliwa, unapewa jina, unaanza kufunzwa emotionally, matukio yatokeayo na namna ya kurespond. Unapata ufahamu unaenda shule, unamaliza unapata kazi, uaoa au kuolewa, unazaa then na wewe unaanza kurudia kile ulicho kiona na kufunzwa. So unakuwa kama program ya komputa ambayo ikipewa instructions Fulani lazima itowe specific autcome.
Ila, Nini kinacho kutofautisha? Je ni jina, elimu, mali, au utamaduni uliokulia?
Wengi wetu tunaishi kama wanyama tu, japo kuwa tumepewa vipawa mbalimbali na muumba.. Kuna watu wengi sana nimeshuhudia wakiishi maisha ya dhiki, Mimi mwenyewe included, unaamka asubuhi kwenda kufanya kazi usiyoipenda, uonekane, ili uifaidishe jamii usiyoiamini na kutimiza malengo yasiyo na fulfilment.
Watu wengi hujifunga kwenye maisha yasiyowapa amani kwa sababu wanaogopa kuhukumiwa.
Ila nikaja kuona sio kwamba watu hatutambui Hilo, ila inatubidi kuwa hivyo.. kuishi tukiumia ndani ingawali familia inakula, wazee nyumbani wanapata fahari, na walimwengu wanakupa heshima ya mchongo. Ni vyema kuwa hivyo, kuliko kuonekana mjinga, kutumia kipawa au talanta au kufanya kitu kisicho lipa.
Nipsey Hussle aliwahu kusema,
"Would you rather be at war with yourself and at peace with the world, or at peace with yourself and at war with the world?".
Hii kitu Huwa, inaniumiza sana, moyoni najua nataka kuishi maisha Gani (hata kama sio objectively) ila najua huu uhalisia ninaoishi haunifanyi niwe huru,
Au labda nafanya ilimradi niwe accepted, watu waone nafanya progress ila nagundua sio Mimi tu, Kila ifikapo ijumaa sura za wenzagu wote pamoja na yangu Huwa na Nuru ambayo temporarily inapunguza burnout na maumivu ya ku commute kwenye kitu kisicho kwepeka.
Ila, Sasa itabidi nifanye maamuzi, maamuzi ambayo Kwa muda, au milele yatawaumiza watu wa karibu, itanipasa kujiwekea malengo madhubuti, na itabidi nijichague, kama jinsi watu wengi maarufu walivyo Fanya, kupambania ndoto zao. Katika jamii tusipende kukaa na watu wazima walioshindwa these people are toxic, hasa vijiweni. Find who you are, stay true na utapata kundi lako.
Najua kuna watu wako serikalini au sekta binafsi, wanaingia kazini kila siku huku ndani wakijua mioyo yao inataka kitu kingine. Unafanya kazi kiwandani lakini unatamani kumiliki kampuni. Umechoka kuishi ndoto ambazo si zako. Umechoka kuonekana sawa huku ndani unajisikia kupotea. Lakini bado unaendelea, si kwa sababu unapenda hayo maisha, bali unaogopa kuanza upya na kuwa vile ulivyo kweli.
Sipo hapa kukuamsha kwasababu mtazamo wako na jinsi unavyojihisi ndani ni tayari umacho. Sipo hapa kukupa mbinu au kukuambia itawezekana, nipo hapa kukuambia huwezi kujua hayo yote endapo hautajaribu. Take that leap, Anza hata kwa kuandija notes chumbani kwako, weka wallpaper kwenye simu yako. Muombe muumba wako, Kwa Imani yako na hata kama Haina Imani ya nje, wewe mwenyewe nafsini mwako unajua unataka Nini. Stop waiting nenda kafanye, utachekwa trust me, utarudishwa nyuma na kukumbushwa haiwezekani, lkn unatakiwa ustahimili.
Anyways, nisiwachoshe, nahisi kwa atakaeona ujumbe una maana au ni Mimi tu nakukosa kwangu usingizi,(msaada sijalala kikamilifu Kwa siku7) nalala saa 9 naamka saa3.