Nataka Niwe na Wewe.... Le Mahabat...

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,238
36,272
Iko hivi.....

Siku zote waswahili husema, wakati ukuta ukipigana nao utaumia. Baada ya kupambana na kubishana sana na mawazo yangu nikasalimu amri.

Hatimae nikakubali ombi la Le Mahabat wa Kasie.. ...
Ombi alilonitumia ni kutaka nimpe mkono wangu, nimuamini tuishi wote pamoja yaani Kasie na Le Mahabat.

".....
Kasie beibe.....
Nataka niwe na wewe milele
Nataka tuwe na watoto beibe Kasie.. .
Nataka tuishi wote pamoja...
Nataka niwe na wewe milele Kasie.. ..
Nataka tuishi wote pamoja.....".

Naanzaje kubisha sasa maana kwa maneno hayo kanikumbusha enzi cha kiuno bila mfupa Ray C.

Le Mahabat wa Kasie.. ... mwaah!!
 
FB_IMG_1461151526630.jpg


Imaginations
 

Congratulations, have you propose to her already or this is what you plan to do when you ask her that question......... will you....... me?

Halafu akujibu kwa sauti nyororo inayosindikizwa na tabasamu kubwaaa yeeeeesssss....

Ila uwe makini, huyo mwanaume anayetembea ndani ya huo mzunguko wa kopa wakati wewe unatangaza nia kwa mbeibe wako, yawezekana akavuruga mahusiano yako maana sio tuu kavuruga picha pia kaondoa concentration kwa walioweka uzio wa kopa.

All the best ..!
 
Wanawake walio wengi wanatamani sana siku moja wawepo kwenye mazingira hayo! Kwa bahati mbaya wanaendelea na wataendelea kusotea benchi kwa kujifanya wajuaji sana.
 
Wazeee wa tamu saaana. Hakyanani.


Subhai.....!!! Kulikoni?? Heheheheee kila nikisoma jina lako sumbai huwa akili inaniletea neno la kimasai subhai... sijui kwanini.... nisamehe tuu kama nakukwaza kukuita subhaii.

Naona umerudia post ya pili kuweka msisitizo hahahahahaa.....

Licha ya kuhisi una uzoefu nao ila ujue kusema maneno haya tena kwa msisitizo (kuwa wazee ni watamu) unawafanya waschana wapate msongo wa mawazo kuwa he wao sio watamu au wao ni watamu zaidi? Au na wao waanze kujifanya wazee ili wawe watamu...

Unajua kuna waschana ushawapa stress hapa ya kuutamani uzee ili wawe watamu heheheheheheee shauri yako watakununia na kukuchukia.....

Haya wacha kizee mie niendelee kufaidi na Le Mahabat wa Kasinde aka Kasie.
 
Huyo Le mahabat bado ni siri eeeh, usije kuta wangu kaja kwako na mbwembwe zote hizo halafu mie nabaki kuchekelea uzi.

nauliza tu Mkuu

Cc. Daby shem wangu nisaidie mawazo

Hahahahahaaa
Waalaaah, Le Mahabat wa Kasie hata sio siri mbona anajulikana sana tuu.... wataka nirudie kumtaja hapaa?

Maadam haina madhara, Le Mahabat wa Kasie ni...... Daby ♡♡♡

Kama ni wako pole maana utakuwa ushaachwa au ndo kaniacha mie kaja kwako...... ngoja aje aweke msisitizo hapa.
Ila naona unamuita shemeji, natumai haulagi.... au hainaga ushemeji... hehehehehe

Gooday miss.
 
Back
Top Bottom