Nataka Niwe na Wewe.... Le Mahabat...

Nataka Niwe na Wewe.... Le Mahabat...

Sinaga tabia mbaya zaidi ya kwenda disco, nimefundwa kwetu kuwa ninapotongozwa shurti nipige hodi kama hakuna mwenyewe basi naingia ndani najimwaya na kama kuna mtu basi nampa zake heshima kwa kutangulia kisha namfahamisha mie ndo mdogo asipoweza ukewenza aniachie himaya. Tatizo langu Kasie ni mbinafsi, nikitangulia mie akija bi mdogo namkaribisha na kumueleza mema na mabaya ya himaya halafu namuachia achambue akili ku mkichwa wake. Akiweza kunivumilia timbwili langu basi tutaishi wote akishindwa anasepa ananiachia himaya. Laah kama mwanaume anaenda tafuta bi mdogo niliyemzidi kwa kila kitu kuanzia uzuri tabia hadi akili.... basi natoka mie kwenye himaya maana najua hapo mwanaume kwisha habari yake anaacha visu anachukua butu....

Pole kwa maneno mengi ya Kasie kama chiriku hehehehee.
Amina my dada. Thats why i love you
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom