Hahah wifi yako siunajua anafuraha leo nyumbani unakaribishwa anajitahidi kucheka kila aina ya vicheko vyote duniani hahaHeee kumbe ni kicheko.... mie nikajua ni mwondoko na sauti za viatu zinavogonga sakafu hehehhehheee
Au ni kicheko cha kisandawe bin kibarbaig....
hahahahahahah kama ni mambo ya kumweleza kwanza bhana acha tu basi, ilikuwa mambo yetu ya wanawake ya boma.
BTW new couples ni ngumu kuepusha hili la kutoa siri na kama ataambiwa naghairi mkutano.
CC. Daby
Halafu dogo unekua eeh... shemeji yako kasie sawa!Its Kasie again.
One the lady I adimire.
I love you Kassie
kwa wengine sisi ni machokoro mageni hayoo mambo. 🙂Really!
Daah pole mkuu... achia moyo usiubanekwa wengine sisi ni machokoro mageni hayoo mambo. 🙂
hakina madhara yeyote nataka asijue tu, wooow, kuna fitu fingine ni siri ya wanawake ati (in masai voice)Mie sina hiyana kama kikao hicho hakitaleta madhara kwa afya ya mahusiano yaDaby na Kasie. Na kama haina madhara sidhani kama Daby atapinga mamy wake apate maelezo na jinsi ya kuenenda kwenye BOMA la baba yeyooo.
Huyo dada yangu atakufundisha tabia mbaya maana hachelewi yule [emoji4]jaman jaman, mimi simo hukooooo niko kivyanguuuuuu
hahahahahah wifi uje taratibu kwenye boma ohoooooooHeee kumbe ni kicheko.... mie nikajua ni mwondoko na sauti za viatu zinavogonga sakafu hehehhehheee
Au ni kicheko cha kisandawe bin kibarbaig....
I admire the girl.Halafu dogo unekua eeh... shemeji yako kasie sawa!
HahahaHahahahahaaa
Waalaaah, Le Mahabat wa Kasie hata sio siri mbona anajulikana sana tuu.... wataka nirudie kumtaja hapaa?
Maadam haina madhara, Le Mahabat wa Kasie ni...... Daby ♡♡♡
Kama ni wako pole maana utakuwa ushaachwa au ndo kaniacha mie kaja kwako...... ngoja aje aweke msisitizo hapa.
Ila naona unamuita shemeji, natumai haulagi.... au hainaga ushemeji... hehehehehe
Gooday miss.
To me She don't believe in shoes and cars but she believes in shooting stars. Vibaby runner sijui nini ni bonus.I admire the girl.
Anajua sana kuwa sina plan ya step yoyote kwa sasa.
Ila najua nitakapomkatatia..
Sina haraka bado kidogo nimiliki X5 BM.....
Kasie anajua ninachomaanisha... Wewe endelea na vibebi walker vyako uone kama atabaki kuwa shemeji.
Hahah unampa sana bichwa huyu blazaa
Mtakatifu lakini mbona mimi na wewe ndugu kwanini mafanikio yangu unapenda kuyapinga lkn...