Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Wewe sio mutu ya kuaminiShem namaanisha uletwe huku kwetu na homeboy. Mbona hatuaminiani lkn shemeji
Wewe sio mutu ya kuaminiShem namaanisha uletwe huku kwetu na homeboy. Mbona hatuaminiani lkn shemeji
Eeh arifuu hawa mifuko wasitulostishe aseeh...siunajua nakupenda miaka miaka ya shetaniiwaooo uwe unaelewa very fast chalii angu tuna kago mingi za kufanya
akilea ndio uchepukeeee, sitaki kusikia nimesemaThe blood hutaki mafanikio yangu??? Mama p analea...
Siunajua mwanamke nyumba. Anaendelea na majukumu ya nyumba huku kamoyo kake kakiendelea kumsukuma daby kwa raha zake huku akisikiliza ule wimbo wa Mr nice anaanadoAtaitika
Sasa huyu bibie kaenda wapi, Kasie roho ya Daby
Mahari bundle la karne. OverUnataka uniuzie Mali kwenye gunia.....subiri mubashara kwanza.
Btw.....mahari yetu si koti na kofia ya babu. Au
Hivi nifanyeje uniamini shemeji nibadilishe avatar niweke bibleWewe sio mutu ya kuamini
[emoji85] [emoji85]
I will come..[emoji12]We jisahaulishe tu[emoji57]
Daby sukari ya warembo wallahTobaaa
HahahaSiunajua mwanamke nyumba. Anaendelea na majukumu ya nyumba huku kamoyo kake kakiendelea kumsukuma daby kwa raha zake huku akisikiliza ule wimbo wa Mr nice anaanado
Hapana nakuamini shemu, ila sio sanaHivi nifanyeje uniamini shemeji nibadilishe avatar niweke bible
Haha shemejiHahaha
Nafurahi kuona umekamatika sasa
Mpaka wewe!!!Daby sukari ya warembo wallah
hahahahahah hiyo najua kabisa arifuuuEeh arifuu hawa mifuko wasitulostishe aseeh...siunajua nakupenda miaka miaka ya shetanii
Usije wala staki tenaI will come..[emoji12]