Asante wifi ..hahahahahahahah, sitaki kumsikia namfahamu cute b tu hakuna lingine
Asante wifi ..hahahahahahahah, sitaki kumsikia namfahamu cute b tu hakuna lingine
Ndiyo .Kwani cute b anamioyo miwili shem eti umesema isivuje damu
Uwiiiiiii wewe mwanaume kama unadhani una Uhuru wa kuchepuka not to zat ....Umemuita Nani hapo??? Mbona sioni ulichoandika chief.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asante sana shemeji.Mimi nampenda mama p AKA cute b sasa sumbai kutangaza jimbo lipo wazi bila idhini ya shemeji yangu huu ni ubashite mkubwa
Atanyooka tuu uzuri ananielewa
We jamaa si nlikuambia account imekuwa hacked???
Hahahahah.....Asante sana shemeji.
Nilichelewa kumdaka na Leo hali
Nimwnyooka, Mama p....siunajua wewe ndio oxygen and every thing....Atanyooka tuu uzuri ananielewa
Kwema ndugu yangu ni mambo mengi tuuUmepotea lkn shemeji.
Kwemah!
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Haya acha nibaki kimya.