Nataka Niwe na Wewe.... Le Mahabat...

Nataka Niwe na Wewe.... Le Mahabat...

Iko hivi.....

Siku zote waswahili husema, wakati ukuta ukipigana nao utaumia. Baada ya kupambana na kubishana sana na mawazo yangu nikasalimu amri.

Hatimae nikakubali ombi la Le Mahabat wa Kasie.. ...
Ombi alilonitumia ni kutaka nimpe mkono wangu, nimuamini tuishi wote pamoja yaani Kasie na Le Mahabat.

".....
Kasie beibe.....
Nataka niwe na wewe milele
Nataka tuwe na watoto beibe Kasie.. .
Nataka tuishi wote pamoja...
Nataka niwe na wewe milele Kasie.. ..
Nataka tuishi wote pamoja.....".

Naanzaje kubisha sasa maana kwa maneno hayo kanikumbusha enzi cha kiuno bila mfupa Ray C.

Le Mahabat wa Kasie.. ... mwaah!!
Doooh
 
Haha mamy nitasemaje sasa mimi.

Ok, I always remember that day I met you. my heart said go get you now you live in my world and I live in your world.

Dady love you much(nigerian voice).

Aaauuwww Daby.... I laaab you so much oooo (in Nigerian voice too).
 
Haha ulivyoiwahi sasa kama yako inaraha yake eeeh!

Hahahahahahaa hii inaitwa chako changu, changu chako, vyote vyetu... Daby and Kasie.... ever smiling...

Najshsbdhdiskejdushdbdj
 
No problem am available, at your time we can have a brief meeting....
Thanks wifii
I smell from far that our meeting will be fruitful

kikikikikkkkkk, usimweleze Daby, we will discuss it without his knowledge kwanza ndo apate update.
 
I smell from far that our meeting will be fruitful

kikikikikkkkkk, usimweleze Daby, we will discuss it without his knowledge kwanza ndo apate update.

Kama hauna madhara basi mkutano huo utapata baraka zote kutoka kwa Daby, ila kama utaleta madhara bora ajue mapemaa....
 
Kama hauna madhara basi mkutano huo utapata baraka zote kutoka kwa Daby, ila kama utaleta madhara bora ajue mapemaa....
hahahahahahah kama ni mambo ya kumweleza kwanza bhana acha tu basi, ilikuwa mambo yetu ya wanawake ya boma.

BTW new couples ni ngumu kuepusha hili la kutoa siri na kama ataambiwa naghairi mkutano.

CC. Daby
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom