255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,092
Haha kasiie unajiongeza hadi raha ...ofcoarse that's my plan
Congratulations, have you propose to her already or this is what you plan to do when you ask her that question......... will you....... me?
Halafu akujibu kwa sauti nyororo inayosindikizwa na tabasamu kubwaaa yeeeeesssss....
Ila uwe makini, huyo mwanaume anayetembea ndani ya huo mzunguko wa kopa wakati wewe unatangaza nia kwa mbeibe wako, yawezekana akavuruga mahusiano yako maana sio tuu kavuruga picha pia kaondoa concentration kwa walioweka uzio wa kopa.
All the best ..!