Nataka Niwe na Wewe.... Le Mahabat...

Mmh napita tu
Wewe ni mwanamke wa ajabu sana kutokea hapa duniani. Yaani inashangaza mwanamke umegonga 40s halafu bado unajifanya ni 20s au under 20? kweli hii dunia ina mambo makubwa na ya kushangaza!

Lakini sio mbaya kwa sababu upo ki-Gold Digger zaidi, Ila acha kuwapotosha mabinti wadogo wa humu Jf ....kwa kufuata swaga zako wakijua ndio kula ujana kumbe wewe tayari umeshaona jua limefika saa 10 na huwezi olewa tena ila ni kujiachia tu kwa kula bata na kuchuna wenye nazo!

Waache wadogo zako waolewe....wajenge familia bora....hivi jiulize toka siku ya kwanza kufunguliwa njia hadi leo MELI ngapi zimepita? huoni aibu? NO PLEASE hata kama ukidhani ni sifa za kimjini mjini lakini hapana aiseee...kuna vibinti vipo humu utaviharibu na hizo swaga zako...

Mabinti....please watch out....huyo sio wa kawaida shauri zenu..mtajuta baadae
 
I am marvelously fantastic.

It's been a while, indeed.

Want some beef hot dog koromije with some honey chipotle salsa on it?

Ooohhh my gooosh....!!! Samasoti is coming right now..... hahahahahaaa I can see and smell it.

You know how I love fish Koromije.. ..yeah I want some with everything in it.

Where have you been JJ?
 
Hehehe bichwa lileeee....... Halina ubongo lakini Lina akili..... Linaona Bila mijicho .

Lile bichwa mahaaabt

Hahahahahahahahaaaa looh
Haya bana wacha nitabasamu kwa afya yangu heheehe
 
Wewe ni mwanamke wa ajabu sana kutokea hapa duniani. Yaani inashangaza mwanamke umegonga 40s halafu bado unajifanya ni 20s au under 20? kweli hii dunia ina mambo makubwa na ya kushangaza!

Lakini sio mbaya kwa sababu upo ki-Gold Digger zaidi, Ila acha kuwapotosha mabinti wadogo wa humu Jf ....kwa kufuata swaga zako wakijua ndio kula ujana kumbe wewe tayari umeshaona jua limefika saa 10 na huwezi olewa tena ila ni kujiachia tu kwa kula bata na kuchuna wenye nazo!

Waache wadogo zako waolewe....wajenge familia bora....hivi jiulize toka siku ya kwanza kufunguliwa njia hadi leo MELI ngapi zimepita? huoni aibu? NO PLEASE hata kama ukidhani ni sifa za kimjini mjini lakini hapana aiseee...kuna vibinti vipo humu utaviharibu na hizo swaga zako...

Mabinti....please watch out....huyo sio wa kawaida shauri zenu..mtajuta baadae

Ungekuwa shupavu zaidi kama ungekuja na kitambulisho chako cha zamani ungekuwa umewasaidia uliotaka kuwasaidia haswaa.

Anyways, welcome to JF Jungle boy if at all you are really a new member!!
 
Hahahahahahaa usiwaze na kufikiria hivo..... ushawahi kuwaza kuwa bibi wa miaka 46 bado ana utamu...!!?? Au ni ugwadu tuu umekushika hehehehe
Sina ugwadu, I just have a feeling that you could be so sweet. At 46 you've done it all, unataka kidume cha kukupa utamu. The good thing is, no contraception is needed anymore
 
Back
Top Bottom