Ni aheri ujibu kwa ufasaha tu jirani ili kuweka moyo wako katika hali salama isiyo ni vifuu vidudu watuAhaaa jiran maswali gani tena haya
Kweli mwanamke sio ndugu yako.Yaani kwasasa ni kama nimezaliwa nae, si unajua vile nampenda MO11 wangu, yaani sijui hata kanipa nini huyu mwanaume, nampenda mpaka sijielewi.
Ndio na neno lake kwangu ni sheria, hivyo nalitekeleza tu, we ni kaka yangu tu tutaonana nyumbani.
File la kaka ako sijui mdogo ako lina virus liko linachunguzwaNi aheri ujibu kwa ufasaha tu jirani ili kuweka moyo wako katika hali salama isiyo ni vifuu vidudu watu
Haya ila mfikirie naona siku hizi kabadilika anakusifu sifuFile la kaka ako sijui mdogo ako lina virus liko linachunguzwa
Weeeeh!! Ukoo wetu si unajua vile unaendelezwa? We jisahau tu, nakuangalia tu unavyojisahau.Kweli mwanamke sio ndugu yako.
Haya kaanzishe ukoo mwingine huko acha niendeleze wa kwetu
[emoji16][emoji16] crazy wewe.Weeeeh!! Ukoo wetu si unajua vile unaendelezwa? We jisahau tu, nakuangalia tu unavyojisahau.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi sio wa kisport sport jirani nikimpenda mtu lazima aitishe press..
Kesho wifi yako atakuwa BBC mchana kunitangaza rasmi hapa ni mwanzo tu
Cc espy
Hahahahah .....ulijua bi Kasie keshakupindua......?
Utakuwa mtamu sana weye!!Huo ndo uhalisia, Kasie ni mzee bin kibibi bin kigagula, sio mschana.
Hehehe bichwa lileeee....... Halina ubongo lakini Lina akili..... Linaona Bila mijicho .Doooh!!! bichwa lipi sasaa.... na udadavue vizuri hadi nielewe.....
Wewe na wee.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nijikute tu, nitatangaza nitakapopewa go ahead na ukoo, ila sio ndoa za utotoni, si unajua ni ubakaji eeh!!
Ujue umenishika love.. usitegemee uke wenza wala mchepuko....Sinaga tabia mbaya zaidi ya kwenda disco, nimefundwa kwetu kuwa ninapotongozwa shurti nipige hodi kama hakuna mwenyewe basi naingia ndani najimwaya na kama kuna mtu basi nampa zake heshima kwa kutangulia kisha namfahamisha mie ndo mdogo asipoweza ukewenza aniachie himaya. Tatizo langu Kasie ni mbinafsi, nikitangulia mie akija bi mdogo namkaribisha na kumueleza mema na mabaya ya himaya halafu namuachia achambue akili ku mkichwa wake. Akiweza kunivumilia timbwili langu basi tutaishi wote akishindwa anasepa ananiachia himaya. Laah kama mwanaume anaenda tafuta bi mdogo niliyemzidi kwa kila kitu kuanzia uzuri tabia hadi akili.... basi natoka mie kwenye himaya maana najua hapo mwanaume kwisha habari yake anaacha visu anachukua butu....
Pole kwa maneno mengi ya Kasie kama chiriku hehehehee.
Umeonaa ehh......huyu Hana zile za nipeleke Dubai shopping. Sijui fish fish.....Utakuwa mtamu sana weye!!
Bro mbona mnapenda kumpa shemeji yenu presha lakin wakati yupo alone