Nataka Niwe na Wewe.... Le Mahabat...

Nataka Niwe na Wewe.... Le Mahabat...

Mamy mwambie swahiba file lako ninalo mimi na halitoki

Cc Asprin

Oooh Daby......
Hivi kwa kimasai wanasemaje I miss you.... au I love you..... ♡♡♡♡♡♡♡

Nitumiepo kwa box haya maneno niwe nayatumia mara kwa mara kila nikuonapo. Maana kiswahili na kiingereza chingi vinatumiwa na wengi hivyo nikisema kimasai nakuwa nimemaanisha na naweka msisitizo.

Halafu kuna baridiii......
 
Oooh Daby......
Hivi me kimasai wanasemaje I miss you.... at I love you..... ♡♡♡♡♡♡♡

Nitumiepo kwa box haya maneno niwe nayatumia mara kwa mara kila nikuonapo. Maana kiswahili na kiingereza chingi vinatumiwa na wengi hivyo nikisema kimasai nakuwa nimemaanisha na naweka msisitizo.

Halafu kuna baridiii......
[emoji4][emoji4][emoji4] unafikir hata nina mengi wew niite tu leiguanan ole Daby uone nitakavyofurahi [emoji16][emoji16]
 
[emoji4][emoji4][emoji4] unafikir hata nina mengi wew niite tu leiguanan ole Daby uone nitakavyofurahi [emoji16][emoji16]

Leiguanan Ole Daby..... oooh hadi raha kukuita hivo..... ngoja niendelee huku nikiweka mbwembwe......

Leiguanan............

Oleeeee........

Daaabbbbyyyyy.........

Wwaaaawwwwww!!! ♡♡♡♡♡♡♡♡♡
 
Leiguanan Ole Daby..... oooh hadi raha kukuita hivo..... ngoja niendelee huku nikiweka mbwembwe......

Leiguanan............

Oleeeee........

Daaabbbbyyyyy.........

Wwaaaawwwwww!!! ♡♡♡♡♡♡♡♡♡
Mamy today is good Friday.. inabidi twende nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom