Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

Hapana mi najijua kuna watu wamepinda ni hatari anaweza kukesha anakunywa sijui huwa wananyongo gani!.. mi simple sana masaa yangu mawili tosha kabisa na inategemea nakunywa nini kuna vinywaji vyengine hayo masaa mawili ni ushazima....😂😂
Hahahaha hapo unyama na lazima utoe siku za mapumziko ili kufanya zoezi la kupunguza sumu miwili na kuzipa figo nafasi angalau tuishi kidogo 😅
 
Kula nyama choma ama chakula kizito kabla hujanywa ni muhimu sana Kwa afya ya Mnywaji.

Kuna jamaa angu alikuwa tukitoka lazima apige hivyo Visichana(Konyagi kubwa Moja na ndogo peke yake)
Alikuwa anapunguza mafuta mafuta mwilini.😁
 
Babu sijui aliwezaje 🤔 na alikua agusi pombe mpaka apige hesabu ya pesa zake alipe wafanya kazi wake na mtaji wake uwepo na faida anatenga na pombe kila jioni , nashangaa mimi nashindwa , mpaka nawaza au mshua alichapiwa nini😂😂😂😂😂
Huyo Mshua wako Kwa asilimia nyingi anatokea Mikoa ya Kanda ya Kaskazini

Wale ndugu zetu wako vizuri kwenye mahesabu

Formula ni Moja tu, tumia Faida na sio Mtaji
 
Huyo Mshua wako Kwa asilimia nyingi anatokea Mikoa ya Kanda ya Kaskazini

Wale ndugu zetu wako vizuri kwenye mahesabu

Formula ni Moja tu, tumia Faida na sio Mtaji
Mshua ni mwajiriwa tu ila babu ndio alikua kichwa cha biashara matoto yake yote yalikua maoga kwenye harakati za kitaaa😅😅😅
 
Ndiyo kusema umeogopa ufeki wa bidhaa za Pombe uliopo Sokoni?

Nina jamaa angu ana kiwanda cha kuzalisha Gin fulani

Sijui kama Mamlaka Zina udhibiti wa kutosha wa hizi Pombe Kali kwasasa
Pombe nyingi ni ma fekero babu, kunywa inabidi itumike akili ya ziadi , wewe ulisikia wapi mtu anakunywa bia kesho yake anaharisha au kupoteza kumbukumbu?
 
Memory card inapungua vip kwa matumizi vya pombe babu? Germany na urusi kwamba wana Memory card ndogo kuliko Oman
Kilimanjaro ndo mkoa unaaongoza kunywa pombe na ndo mkoa wenye maendeleo na wasomi.
South Afrika ndo inaongoza kunywa na ndo nchi tajiri Afrika..
 
Kilimanjaro ndo mkoa unaaongoza kunywa pombe na ndo mkoa wenye maendeleo na wasomi.
South Afrika ndo inaongoza kunywa na ndo nchi tajiri Afrika..
Ningetaja kilimanjaro wangesema ni ubaguzi hivyo nimeona nitaje kwingine tu, hizo nazo ni kati ya busara🤗
 
Pombe nyingi ni ma fekero babu, kunywa inabidi itumike akili ya ziadi , wewe ulisikia wapi mtu anakunywa bia kesho yake anaharisha au kupoteza kumbukumbu?
Kwa kweli Mamlaka zimeshindwa kudhibiti pombe haramu

Ilibaki kidogo nitie Mtaji wangu kwenye ile Gin, ila nilipata hofu baada ya kuona kiwanda Bubu cha Wachina fulani kufungiwa
 
Kwa kweli Mamlaka zimeshindwa kudhibiti pombe haramu

Ilibaki kidogo nitie Mtaji wangu kwenye ile Gin, ila nilipata hofu baada ya kuona kiwanda Bubu cha Wachina fulani kufungiwa
Babu kunywa pombe kwenye hoteli za hadhi najua wewe hutoshindwa kufanya hivyo ,ndio maana nimeluka huu ushauri 🤔
 
Anza na lite beer hakikisha kila ukimaliza kula unakunywa walau vibeer vinne tu.
Na wanao kutisha kwamba ukianza pombe hauta fanikiwa ni waongo.
Suala la mafanikio ni akili ya mtu wapo wanywaji wengi tu wenye mafanikio tena kwenye bar huko ndio tunapeana michongo.
Jitahidi sana uwe mnywaji na usiwe mlevi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom