Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,465
- 3,509
Duh kweli duniani hatufanani wengine tunaacha wengine wanaomba kushauriwa namna ya kuanza.
By the way mi sikushauri uanze kunywa pombe hii ni kutokana na madhara iliyonisababishia mpaka kuamua kuacha ni kama ifuatavyo:
1. MEMORY LOSS (Short term) kabla ya kuanza tungi nilikuwa kipanga sana, yaani kusoma ni mara Moja kurudia ni siku ya mtihani, nilikuwa na kipaji cha Photographic memory nikiangalia namba ya simu mara Moja sirudii ishanata kichwani, saivi nimekuwa bichwa zito vitu nilivyokuwa naweza kukueleza mpaka nakupa mifano, now lazima nigoogle, kwenda kazini nimesahau simu geto kawaida, kutoka geto nimeacha funguo mlangoni na sijafunga mara kibao inanikuta na sijalewa ila ni long term effects.
2.PROPERTY LOSS Katika unywaji nishapoteza simu, wallet yenye kitita + ID, laptop, begi la kusafiria nshasahau kwenye basi ndo ikaisha hivyo
3.MARADHI vidonda vya tumbo kwenda kupima in general nikaambiwa mapafu yamejaa maji, Figo Zina kiwango kikubwa cha Nini sijui 125 nini wanajua madokta nikaambiwa ikizidi Figo zinafeli, na pia nikaambiwa nianze clinic ya ini japo walisema nikiacha pombe ini linatabia ya kujirecover lenyewe kama halijawa chronic,
ila nilivyopona ulcers nikarudi kwenye pombe clinic sikwenda almost 1 year umepita,
ila Sasa hivi ni kinywa siku mbili siku ya tatu lazima niumwe tumbo mpaka natembea nainama, acid reflux na kukosa hamu ya kula mikono inatetemeka kijiko cha supu mpaka kifike mdomoni supu yote imemwagika.
4.HAMU YA NGONO nikinywa kivyovyote vile lazima nitafute kipoozeo na ninaruka naye bila Kinga ujasiri wa pombe huo.
5. AJALI hii haihitaji maelezo, Kuna kukutana na vibaka n.k mambo ni mengi.
Ila kubwa ni AFYA ya MWILI na akili baada ya kujitathimini faida na hasara ninayopata, nimeamua niache kwa hiari sio mpaka kukutana na dokta Tena.
Now napiga mazoezi mlima nakunywa maji bahari mixer Meditation, hata mwenyewe naona akili inaanza kufunguka.
By the way hizi effects hutozipata Leo Wala kesho but at the long run pombe hajawahi kumuacha mtu salama, na kuanza ni rahisi sana ila kuacha kama hujapata janga la kukushtua ubongo factory reset asee ni ngumu sometimes haiwezekani.
Au labda mizimu yetu haipatani na hii makitu, maybe 🤔
~Ndimi mlevi mstaafu.