Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.

Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.

Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.

Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza 🚮

View attachment 3355810
Nakukaribisha kwa mikono 2 na miguu2,kama walivyo karibishwa g55 Chaubwabwa.Ila cha kujua hiyo kitu sii ya kupania,hiyo tumia kama burudani tu,usitumie kwakuwa unamsongo,usitumie kwakuwa unahasira,usitumie kwakuwa unahisi itakuongezea uwezo wa kufanya jambo fulani kwa ufanisi zaidi,usitumie zaidi ya uwezo wako wa kuhimili kwa kuwa ni yabure au kwa sababu ya kampani.Kama hujatumia kabisa jua utakuwa na uwezo wa kutumia kiasi kidogo kwa kuanzia na tumia aina isiyo na vibe ya juu.Utafanya chagua sahihi na aina ambayo ni rafiki kwako zaidi kadiriya vile inavyozoea.Kila la kheri mwamba.Wahenga tunasema kunywa beer okoa maji.
 
Ingia bar yeyote iliyo karibu nawe,agiza safari 2 za baridi nyanyua nyoyo taraaatibu 😜
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom