KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,524
- 89,043
Mh! nyie mnaonzaga kunywa ukubwani huwa mnatusumbua sana!.. pombe inahitaji mtu anaejiheshimu, anaejua kwanini anakunywa na kiasi gani ni tosha yako!.. pombe inataka hii sentence "Mwisho!".
vilevile ujue unakunywa kwasababu zipi kama unahisia sana pombe haikufai!, na chengine ni kujua ni aina gani ya pombe zitakufaa wewe!. mwisho mfukoni uwe safi yani sio unakunywa hela ya kodi ama ya hesabu nyengine!.
pombe ni nzuri ukinywa kwa kiasi chake!. kwakuwa unaanza zingatia hayo mambo kwanza bila kusahau chakula!, pombe bila kula nikujimaliza!. ila mwisho wasiku kama wanavyoshauri madaktari pombe ni hatari so kunywa kwa risky yako mwenyewe baadae usije kulalamikia mtu!..
Baada ya maonyo na tahadhari wacha nikufundishe, kwakuwa unaanza usianze na pombe kali yani konyagi, whiskey n.k anza na wine ama beer, hizi angalau haziendeshi kihivyo vilevile wine inafaa kiafya ikitumika kwa standard!.
Hufaa sana baada yakula ama kabla ukipata glass yako moja ama mbili!, ila wine zipo nyingi so utachagua mwenyewe zipo tamu na zisizotamu.
kuna red, rose na white.. kwa wanaume huwa tunapenda zaidi kunywa red!, ila unaweza kunywa yoyote upendavyo!. pia kuna sparkling wine hizi ni ambazo zina gas ndo hizo mnaita champagne. alcohol percentage za wine mara nyingi huchezea 12 mpaka 20...
Beer pia zipo za aina nyingi vilevile binafsi napenda ambazo ni lager!.
zipo chungu na tamu pia, kuna ciders n.k mara nyingi alcohol percentage huchezea 4 mpaka 5.... sijawahi kuona bia yenye alcohol 10!.
spirits ama liquor..
ndo hizo kali, hizi ndugu zipo nyingi sana na ni rahisi sana mtu kumchukua hizi maana zina alcohol kubwa!, sanasana huanzia 30 mpaka 40+ sijawahi kuona inayofika 50...!
kwenye hizi ndo huwa ni ngumu kumeza japo si zote ila nyingi zipo hivyo na ndio maana wengi huchanganya na kinywaji chengine ambacho ni soft au wengine hunywa cocktails.. kwenye hizi kunahitajika umakini mkubwa..
pia kuna liqueur, hizi ni spirits lakini mara nyingi huwa na flavour na ni tamu, ndo kuna hizi amarula, baileys n.k wengine huziita za akina dada!..😂
Narudia tena pombe bila kula ni uhaini, kunywa kwa hali na ufahamu na zingatia sana unapokunywa uwe kwenye eneo salama!.