Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.

Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.

Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.

Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza 🚮
Nenda na hela za kutosha baa walimu utawakuta,.
 
Ipi sababu ya kukufanya utamani kutumia kilevi wakati hukuwahi kutumia huko nyuma?

Ni makundi, umeamua kujaribu vitu vipya ama ni msongo wa mawazo?

Binafsi ningekushauri usianze/usijaribu kutumia kilevi.

Usianze kupunguza memory card yako ya Ubongo Kwa Matumizi ya vilevi
Memory card inapungua vip kwa matumizi vya pombe babu? Germany na urusi kwamba wana Memory card ndogo kuliko Omani?
 
Kwani pombe inapunguza memory ya ubongo.

Mimi nakunywaga konyagi ndogo moja inanitosha jioni baada ya kazi so huwa inafanya akili kuwa kubwa na ukomavu na kupevuka kwa fikra Cha kiwango Cha SGR

Unajua watu wengi na wasanii wa muziki mbali mbali huwa wanatumia vilevi ili kufanya akili itende kwa uwezo mkubwa Sanaa

POMBE for years imetumiwa na ma champion na washindi wa vita na hata JAMII mbali mbali zimekua zikitumia years for years
 
Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.

Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.

Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.

Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza 🚮
Nenda grocery au bar agiza na kunywa
 
Memory card inapungua vip kwa matumizi vya pombe babu? Germany na urusi kwamba wana Memory card ndogo kuliko Omani?
Ukiwa mnywaji unaanza kuwa na ugonjwa wa kusahau

Alafu nilisahau kwamba Mimi mwenyewe nakunywa Dodoma Wine 😜
 
Kwani pombe inapunguza memory ya ubongo.

Mimi nakunywaga konyagi ndogo moja inanitosha jioni baada ya kazi so huwa inafanya akili kuwa kubwa na ukomavu na kupevuka kwa fikra Cha kiwango Cha SGR

Unajua watu wengi na wasanii wa muziki mbali mbali huwa wanatumia vilevi ili kufanya akili itende kwa uwezo mkubwa Sanaa

POMBE for years imetumiwa na ma champion na washindi wa vita na hata JAMII mbali mbali zimekua zikitumia years for years
Kwa sifa hizi, nani ambaye hataki kuwa champion

Wacha nami niendelee kujinywea John Walker zangu tu 😜
 
Ukiwa mnywaji unaanza kuwa na ugonjwa wa kusahau

Alafu nilisahau kwamba Mimi mwenyewe nakunywa Dodoma Wine 😜
Babu tuache wajukuu zako tule kimea , bila akili kuzimuka binafsi nisingefika hapa nilipo , kwa sababu nikiwa mzima ni mtu wa kujali mno jambo ambao ni kikwanzo kwenye mambo mengi 🤣🤣
 
Anza na huyu mkali, hii ni tamu kama juisi ya miwa
1000039007.jpg
 
Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.

Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.

Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.

Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza ni
Mkuu nimefunuliwa niwe nakufira,
Tufanye jambo,wasiopenda maendeleo tuachane nao
 
Babu tuache wajukuu zako tule kimea , bila akili kuzimuka binafsi nisingefika hapa nilipo , kwa sababu nikiwa mzima ni mtu wa kujali mno jambo ambao ni kikwanzo kwenye mambo mengi 🤣🤣
Hahaha...............Kwa kuwa nimewahi kufanya kazi kwenye Kampuni fulani ya Beer hapa Temeke wacha nikuruhusu uendelee kuchangia Uchumi wa Nchi 🤗
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom